Gps car track | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gps car track

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Gwaje, Oct 13, 2012.

 1. Gwaje

  Gwaje JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 271
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 45
  watu wengi wamekuwa na GPS katika magari yao lakini je ni kwa jinsi gani unaweza ukadiactvate GPS hiyo na gari likafanya mambo harafu ukitaka unairudishia tena?
  Msaada
   
 2. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Tupe ID yako, mbona maswali yako yanatia shaka. Upewe maarifa ya ku-temper na mali za watu sio. Unacheza na intellligency ya hapa JF!!!
   
 3. Gwaje

  Gwaje JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 271
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 45
  unajua nilizoea gari hili sana lakini boss kafunga mfumo huu nami ninakazi za shamba namsimu huu sikujiandaa ndio sababu ya kuona namna ya kujisaidia ndg
   
 4. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Zingine uki-temer nazo ndo mwisho wa kazi yako. Zinasoma ramani nzima. We unadhani ameweka ili iweje? Shauri yako, chagua moja.
   
 5. m

  mang'ang'a JF-Expert Member

  #5
  Oct 30, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  kuwa muwazi kwa bosi wako atakuelewa, sivyo, patana na dereva wa gari la kukodi dhamana mazao
   
Loading...