Fundi Mashine ya kufua

Gwaje

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
299
85
Natafuta fundi wa mashine ya kufua aina ya westpoint. Imezima gafra na haitaki kufunguka mlango wakati ndani kuna nguo naomba msaada kwa yeyote mwenye mawasiliano na jamaa wa westpoint Dar maana nimepoteza karatasi ya grantee .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom