Kufungua simu!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kufungua simu!!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Gathii, Feb 14, 2011.

 1. G

  Gathii Senior Member

  #1
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wadau naomba msaada kwa yeyote mwenye kujua wapi naweza kupata huduma.

  Nina simu (NOKIA E71) nimeletewa toka Australia lakini imekuwa locked kwenye mtandao fulani wa simu wa huko,ni mpya.

  Nimejaribu kuipeleka kwa fundi mmoja (anaitwa SELE) mtaa wa Samora pale imemshinda.
  Je,kuna mtu anafahamu wapi naweza kupata huduma ya ku-unlock hiyo simu?au nifanyaje?
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Fundi Imemshinda nini au kakuakmbia kwa nini imemshinda tatizo ni nini? Ni sim lock au ni phone lock

  Any was subiri kuna wataalam dr phone na calvin power. Binafsi siomtaaalm sana ila napenda sana kufuatilia mambo ya simu

  Kwa kuangalia hii video inaonyesha huyo fundi sele kama ana vifaa sahihi kama BB5 unlocker hatakiwi kushindwa. Tena hapa ametumia USB cable tu na software


  Ukishidwa kabisa itabidi utafute kampuni inayoaminika online .Unawatumia IMEI number na jina la kampuni iliyokuwa locked(sim). Inabidi ulipie kiasi fulani kupitia visa sio zaidi ya 20$.

  But wait kabla hujawapa ajira na hiyo hela watu wa nje kuza ajira nchini .
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #3
  Feb 14, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  weka bayana huyo sele alichokuambia ili uweze kupata useful comments, inawezekana network ni tofauti (band[800 - 900 mhz]) au hana compatible software
   
 4. G

  Gathii Senior Member

  #4
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Lazima nikiri kitu kimoja aliponipa jibu la kushindwa sikulichukua into details,nimefanya kosa (naweza bado kurudi kwake akanipa jibu into details),lakini as far as ninavyokumbuka ni kwamba alichonisema ni kuwa ili ku-unlock kuna codes ambazo nafikiri huwa zinapatikana online,so hizo ndio alidai hazijawekwa open bado kitu kama hiko.

  Nikaona ni bora kutafuta alternative maana kuna watu wengi wenye knowledge tofauti.
   
 5. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #5
  Feb 14, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Mwambie fundi sele atembelee Nokia Base Band 5 ( BB-5 ) - GSM-Forum

  Fundi sele akishindwa mwambie aje jf tumsaidie jinsi ya kukusaidia.

  Na kama unamumini muachie simu aipeleke kwa fundi mwenye uwezo zaidi yake. Hawezi kukumbia lakini ndo hivyo.

  Fundi sele ataipeleka kwa fundi abdalah abdalah akirekebisha fundi sele anakuletea simu yako kama mtaalam kumbe mtaalam halisi nyuma ya pazia ni abdalah .
   
 6. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #6
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,258
  Trophy Points: 280
  Mtafute jamaa mmoja anaitwa Mwesiga pale samora juu ya emprees ukiulizia yeye ndiye mtaalamu wao!
   
 7. G

  Gathii Senior Member

  #7
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kaka nimekupata na ahsante nitajaribu kumcheck Mwesiga hapo Samora (Empress ilipokuwa Empress Cinema si ndiyo??).
  Ahsante.
   
 8. G

  Gathii Senior Member

  #8
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kaka nimekupata na ahsante nitajaribu kumcheck Mwesiga hapo Samora (Empress ilipokuwa Empress Cinema si ndiyo??).
  Ahsante.
   
 9. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #9
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  ebu jaribu kutoa IMEI no ya simu na taja kampuni ya simu iliyoilock lock tuone hii nyezo ya online na bure kama inaweza kufanya kazi
  kwa Australia hapa wanaonyesha kuna kampuni (Telstra, Singtel,Globstar,vodaphone hutchinson,One tel)

  na wewe jaribu kutazama hapa Nokia unlock phone codes calculator software

  NB
  Njia i hii ya kunlock online unaweza kujaribu kama sikosei si zaidi ya mara tano. Ukifanya trial zote zikishindikana then inabidi ikawe unlocked kwa cable
   
 10. G

  Gathii Senior Member

  #10
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 9, 2011
  Messages: 164
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Kaka nimeingia kwenye hiyo link imenileta kwenye website ya Nokia na kuna maelezo pale ila right now sina handset hapa,ila after 3-4 hours nitakuwa nayo nisaidie kwanza IMEI namba ya simu unaipataje??lakini pia kwenye types za NOKIA sijaiona E71 ila nimeiona hiyo kampuni (ingawa wewe hukuiweka labda ulii-bypass) ni Singtel-Optus.

  Nisaidie ili niweze kujua hiyo IMEI namba then nitajaribu kufata maelekezo nione wapi nitafika.
   
 11. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #11
  Feb 14, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Imei No ya nokia inapatikana kwa njia nyingi one of them ni
  type *#06#

  Tembelea hapa Nokia Codes Tips and Tricks

  Samahani lakini are u a female.??
  Maana sometime female hawawi confortable na techincal jargons. But ushauri mzuri pia ni huo aliokumbia jamaa mtafute huyo mwesiga. Ingawa simjui namsikiaga ni mkali.

  Na kuna wataalam wengine kina drphone na cavin power nashangaa sijui valentineday wamekamatwa. huu ndio uwanja wao.   
 12. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #12
  Feb 14, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu pole sana kwa usumbufu na pia sizani kama sele ameshindwa kwa maelezo hayo hyo itakuwa ni new security namaanisha ni sl3 lazima itakuwa hivyo ila kwa ss zinatoka ata kwa box na online ila zinagarama kdogo ukiniambia mmechindwana bei sawa au ni band moja ambazo nyingi zinakuwa imei no zinaanza na 0 so ukitoa lock aitakamata network ya hapa kwani ni maalumu kwa bara la ulaya tuwasiliane kwa pm tuone tutasaidianaje mkuu
   
 13. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #13
  Feb 14, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  sijui macho yangu hayaoni vzuri
   
 14. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #14
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  Mkuu Mtazamji sio Valentine bali najua ni sl3 new security. Mimi ninaufahamu wa njia kuu mbili ambazo zinatumia bruteforce ambazo sio nzuri sana kwa ku-unlock sl3.
  Nazo ni Local brute-force na Server brute-force. Ambazo inafanyika kwenye --7 level Hashes + IMEI.
  Local brute-force unafanya kwa kutumia box lako mwenyewe. MX-Key Activation sl3 unlock(need pay for activation) / CycloneBox FREE and STANDALONE SL3 Unlock (no activation/logs) na sidhani kama hapa mafundi wetu wanaofanya kwa mabox yao wanaweza kufanya bruteforcing maana lazima uwe na pc iliyoshiba kufanya brute-force ya sl3. lazima uwe na vga graphic iliyoenda shule na si CPU iliyoenda shule. kwa kufanya Local brute-force lazima uwe na pc with supported GPU kama ni AMD/ATI HD-57XX, au NVIDIA with CUDA support.

  mfano hii Tesla S1070 500 inauzwa $9000 mda wa ku-unlock simu moja ni 11days.
  na GeForce GT230 hii inauzwa $70 mda wa ku-unlock simu moja ni 238days

  Ukiangalia kwa umakini tatizo hapa linakuja kwenye mda huwezi kumwambia mteja eti aje kuchukua simu yake baada ya 238days, hawezi kukuelewa. ili uweze kwenda na mda lazima u-invest kiasi kikubwa cha pesa.
  checki hapa ujue mda wa ku-unlock kulingana na GPU na bei za GPU http://golubev.com/gpuest.htm

  Mafundi wengi wameshindwa ku-meet hizo GPU specifications na ndo maana inakuwa ngumu kufanya local brute-force.Sidhani kama kuna aliyewahi kufanya local brute-force na akafanikiwa kama yumo humu jamvini basi ajitokeze. Yaani anunue machine nyingine yenye GPU spec hizo kwaajili ya ku-unlock only sl3!!!! haiingii akilini ni bora njia ya server bruteforce.

  Server bruteforce: mfano griffin Team/cyclone/UB ambazo zitakufanyia brutefocing kwa mashine zao online. kwakuwa wao wanauwezo kifedha na wameunganisha almost mashine 20. unapata unlock-codes kwa mda mfupi kulingana na wateja mlio request na unalipia credits for sl3 unlocking, which is a little bit high

  Lakini ili kufanikisha kazi kwa brute-force lazima hash ya simu yako iwe supported. Kama haipo hapa chini then haitafunguka. Utapata msg: hash not supported naona hili ndo lilikuwa tatizo la Sele. That means the only solution itakuwa online code provider. Mimi kwa uelewa wangu nafkiri sele nae atakuwa alishaipeleka kwa Mwesiga na ikashindikana, hivyo akaona kuliko kuizungusha zungusha ni kumwambia tu mteja kuwa imeshindikana.

  suppoted harshes ni hizi hapa chini

  38F312750F686F9FC9B1B3778774A195
  9A28E119033B91D14D22838C86D0D53C
  9DDBFCFE6E73CED7D8C6268C8EB85723
  A5404AE83A594ECADEE532F0C236BFA6
  BAF3A9C3DBFA8454937DB77F2B8852B1
  CAEEBB65D3C48E6DC73B49DC5063A2EE
  E9EFF4BFAA5393217CA6B17755FC3E14
  F2D76DFAFD66C7F195F278417DF05888
  F682624FFB08F6D955DBE7D9C0485084
  FCB5C510AF7F09F313D9BDE85A707CC0

  Kuna hii ya online code provider, I don't rely sana na hii ila ni nzuri. mafundi wanaiogopa maana unaweza kupata wrong codes kutoka kwa supplier na ikakuletea matatizo na huyo mteja wako. Maana huwa hawa-refund inamaana inakula kwako.
   
 15. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #15
  Feb 15, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Calvin power ebu kwwanza nipe darsa maana nakupataila naona kuna sehemu kama sikuelewi

  Kwa nini Sl3 inakuwa ngumu ku unlock. Je simu zingne zinazkuwa unlocked kirahisi zinatumia protocol gani?

  Sasa Hapa ndo umenichanganya ina maana graphic ndo zina calculate alagorithm ya sl3 ?
  Do u mean CPU au server yenye Powerful intel CPU tatu au nne haiwezi kufanya kazi hiii ?

  Mkuu nadhani tatizo sio specifiaction za GPU tu tatizo ni uwezo na gharama ya server yenye nguvu. kwa mafundi wa tanzania ni gharam mtu ku own powerful laptop achilia mbali powerful server. Mfano nadhani idadi ya laptop za ASUS tanzania inaweza isizidi 10.

  Na hata hawa wanaoprovide hizi huduma online unaweza kukuta hawana server zao binafsi. Wanaweza kuwa wanapatiwa space ya kuweka mafaile na algorithm zao kwenye sever ya kampuni fulani kubwa. The same way unavyoona jf hawana server zao. So usishangae ki hali halisi kampuni mbili tofauti zinazo unlock sl3 online mafaile na algorith zao za kunlock ziko kwenye sever moja ya kampuni nyingine.

  Unaonaje ?
   
 16. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #16
  Feb 15, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 996
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  Mkuu mtazamaji sl1,sl2,sl3 ni ( security level 1,2,3 au sim lock) ni aina ya mifumo iliyotumika kufungia hizi simu. Na sio kama ni aina ya simu. Mfano unaweza kukuta 6300, 6500s,E71, or 5310 ipo kwenye sl2 na vile vile ipo kwenye sl3 lock level.

  Swali lako: kwanini hizi sl, sl2 ni rahisi kuwa-unlocked.

  Jibu: miaka ya nyuma hizo nokia ambazo sio sl3 nazo zilikuwa ngumu sana ku-unlock. Mpaka wakatokea wataalam ambao waliweza kujua lock data inakaa wapi na wakaweza ku-edit some data fields na kuichakachua same applies to sl2. Ila nokia nao huwa wanabadilisha firmware yenye lock tofauti na ngumu zaidi, au huwezi write au ku-edit chochote ktk field za firmware wanazoweka or else uta-end up na contact service.
  Sasa hii kitu ya ku-bruteforce inachukua sehemu ya data katika field fulani pamoja na IMEI na kuweka kanafasi ka ku-search possible keys mpaka itakapopata correct keys au harsh. na-kuproduce 0-7 level unlock codes za sl3. ofcouse process nzima ya ku-bruteforce ni kwa njia ya ighashgpu. take a look jinsi ighashgpu inavyofanya http://www.golubev.com/hashgpu.htm

  Swali lako la pili kuhusu power ya ku-calculate codes

  jibu: ighashgpu inakuchua power from GPU and not CPU. kwahiyo kinachotakiwa hapa ni GPU power na si CPU power. hata uwe na 1000pcs powerful intel processors bado haitafanya kazi kama graphic accelerator.

  Maelezo uliyoweka ni ya kweli kabisa na ndo maana mpaka sasa hakua aliyekuja kuthibithisha kuwa anafanya local bruteforce mwenyewe. Hizo mashine zinagharama sana kwa mafundi wetu kuweza kuzimudu kwaajili ya ku-unlock sl3. Wamepotoshwa sana na ku-activate mx-key wakati mashine wanazotumia ni ndogo. Hii kazi may be itabaki ikifanyika kupitia server za ub,griffin team, cyclone. mpaka hapo solution ya "time" itakapo kuwa solved.

  ukitaka kujua kwanini servers zao ziko speed then read hapa

  Elewa kuwa griffin team server wana 54 powerful computer na kila moja ina card mbili za graphics yaani 2xHD5970 (54 computers and 2 graphics card in each) ile chart yetu inasema Radeon HD5970 itachukua 4days 17hrs. So with 2cards inamaana itakuwa nusu ya huo muda letssay 2days 8hrs.(56hrs) ukifanyia hizo zote 54. Unapata 1hr per phone. Codes zinakuwa tayari.

  server za GT

  GT%20SL3%20server.JPG GT%20SL3%20server%20back.jpg
   
 17. C

  Chief JF-Expert Member

  #17
  Feb 16, 2011
  Joined: Jun 5, 2006
  Messages: 1,490
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  CalvinPower, DrPhone na wengine magwiji wa kutengeneza simu.

  Unahitaji nini ili mtu uwe fundi mzuri wa simu?
  1. Jitihada zako mwenyewe za kujifunza, pamoja na online materials?
  2. Kwenda VETA kwa mafunzo? (kama wanatoa).
  3. Kwenda CHuo Kikuu kwa shahada ya electronics, halafu kujiendeleza mwenyewe kwenye masuala ya ufundi
  4. Kufudishwa n a mtu anayejua?
  4. ????

  Ningependa kujua kwani nataka kum-sponsor mtu fulani kwenye fani hii.
   
 18. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #18
  Feb 16, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu chakwanza ungempeleka chuo apate stashahada yake kama anapenda electonics itampa uelewa mkubwa sana kisha mpeleke akaechini ya fundi ajifunze kwa nadharia na vitendo hardware n software na mda simrefu atakuwa mtaalumu na akijituma kusoma solution mbalimbali asa kwenye forum za cm
   
 19. C

  Chief JF-Expert Member

  #19
  Feb 16, 2011
  Joined: Jun 5, 2006
  Messages: 1,490
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ahsante kwa ushauri
   
 20. sirleondavid

  sirleondavid JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 30, 2012
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  usijali kaka tatizo limekwisha Ukishindwa kabisa dont harm your gadget check hapa .::Kariakoo::. au piga simu 0715353108
   
Loading...