Ni aina ipi nzuri? Nataka kununua. Ni kwa matumizi ya nyumbani tu siyo ya kutengeneza video kwa ajili ya biashara.
Iwe na cards zote muhimu kwa ajili ya capturing etc a
Naweza kupata kwa sh ngapi. Sitaki ya gharama kubwa.
Naombeni ushauri wa kupata mashine hii kwa gharama ndogo kadiri inavyowezekana.
Thanks!