Mkonga wa mawasaliano ni kweli utatatua network problem zetu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkonga wa mawasaliano ni kweli utatatua network problem zetu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by sajolina, Oct 28, 2012.

 1. s

  sajolina New Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nauliza nipate sifa zake
   
 2. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,450
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Sifahamu sifa zake, lakini yawezekana ikawa kama tu ugunduzi wa gesi na ahadi ya bei kushuka.... Mtungi umepanda toka 30,000/= mpaka 51,000/= ... So lolote laweza kuwa
   
 3. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,009
  Trophy Points: 280
  mkonga wa taifa si ndo cable internet inayopita chini ya bahari? Au me npo mbali
   
 4. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  mpaka sasa mkongo wa internet umekamilika uwekaji, na alie pewa dhamana ya kusambaza kwa watumiaji ni TTCL japokua ukiangalia gharama za bundle za TTCL ndio zinaongoza kwa bei kubwa sasa sijui huko ndio kupunguza gharama?? pia nilikua wilaya flani walio vuta mkongo huo ni NMB pekeyao nadhani ni kwaajili ya gharama za uwekaji wa fiberoptics ndio umechangia watu binafsi kushindwa kuvuta,
  nilikwenda hapo NMB kujaribu speed ya mkongo sio siri speed ni kubwa, sikufanikiwa kudownload file lolote ilinnipate actual downloading speed, ila kwa kweli mkongo unaspeed
   
 5. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,450
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  ndio huo chief... Ila sidhani kama gharama zitapungua
   
 6. bigboi

  bigboi JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 463
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 80

  KAMA JAMAA ALIVYOSEMA HAPO JUU MKONGA UMEKAMILIKA LAKINI HAUNA FAIDA YOYOTE KWANGU MIMI NA WEWE GHARAMA BADO KUBWA KWA MFANO HAO TTCL NDO WAMEPEWA DHAMANA YA KUUSIMAMIA MIMI NIPO PACKAGE HIZI ZA UNLIMITED ZA NDUKI BROADBAND NIPO PACKAGE YA 1mbps download speed inafika 100-120 nalipa 100,000 kwa mwezi hizi sasa we niambia nchi nyingine zenye mkonga walipa hela zote hizo kwa unlimited package ndo maana kila kukicha watu tunatafuta loophole za free internet
   
 7. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #7
  Oct 28, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,009
  Trophy Points: 280
  kwa dunia ya kikapitalist competition inaongea la muhimu wawape kampuni binafsi hata 2 waingie kazini atleast walete net ya 10mbps utaona hata hawa kina tigo na voda watakavyo improve
   
 8. S

  Sine r Winters Senior Member

  #8
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mi bado mchanga wa hayo mambo jamani.
   
 9. Donn

  Donn JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,450
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  dah... 10MB/s ! This will be great...! But hard work for bongo brains
   
 10. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #10
  Oct 29, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,009
  Trophy Points: 280
  Mkuu i mean 10mbps around 1.25MB/s. Maana now tunayo 7.2mbps ya voda akitokea mtu akawachukulia wateja lazma wataleta zile modem za 14.4mbps ili download speed ifike 1.8MB/s
   
 11. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Hapa kwetu kila mkonga ukiwa mkubwa na hata iwepo kumi basi garama zitazidi ya zile za awali. kila kwenye
  maendelea kuna mabichwa ya watu wanatafuta hela za kula na watoto wao!!
   
 12. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Hapo labda asije akaingia Ri mara uko ziwani ndio tutapata unafuu lakini akiingia tu tumeumia, yale222222222222!!!!!
   
 13. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Mkonga wa taifa sio tu uliopita chini ya bahari, pia ni ule unaosambaza nchi zima, wa baharini upo lakini wa nchi nzima uko baadhi ya sehemu na ujenzi unaendelea.

  Bei zimepungua sana za internet tangu mkonga wa baharini uje na zinazidi kupungua daily! ila spidi na service quality inabidi ziwe improved.
   
 14. bigboi

  bigboi JF-Expert Member

  #14
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 463
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 80
  Niliona kwenye gazeti la mwananchi wemeweka full page wanajisifia na mkonga jinsi watanzania wanavyofaidika nayo kunakipengele wanasema imewezesha kama sikosei mawaziri kufanya mikutano kwa njia ya video chat si jui mabenki blablabla lakini mwananchi huku anaumia tanzania tunatakiwa tutoke kwenye hizi bundle za volume zibaki kwa wanafunzi wa primary tu watu wengine zije bundle za unlimited unachagua speed we jaribu video chat siku moja na bundle zeto hizi za 100mb utaniambia utabaki unalalamika unaibiwa watu wanasema bei zimeshuka kwa ajili ya mkonga kwangu mimi naona uongo mtu wizi wa mchana kwa mfano unanipa 100mb kwa shiling 500 speed kubwaaa tatizo linakuja jinsi unanikata shilingi ngapi kwa kila mb
   
 15. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Mimi naona kama mnaongelea bei ya mtungi wa gesi, siyo gesi yenyewe, huwezi kubagain poor service! mmoja wenu aniambie ukiondoa dar, arusha, na moshi, ni wapi naweza pata 3g connectivity.

  Serikali imewekeza fedha nyingi sana kwenye mkonga wa taifa, walengwa ni watanzania kwa ujumla wao ndio soko halisi linaloweza kusababisha mkonga urejeshe "invested capital" halafu tuanze kuingiza faida, lakini kwa sasa wanalenga wizara na mabenki, hii ni matumizi mabaya ya offisi. wakimlenga Mdwenke wa makunda atumie internet service automatic mabenki yatajikuta yapo ndani ya wigo.
  kwani benki itahitaji kuwasiliana na mdwenke siyo benki kuwasiliana na benki tu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #16
  Oct 29, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,009
  Trophy Points: 280
  Mkuu ur dreaming hao vendor wenyewe wakubwa kama t-mobile hawana hizo data package za unlimited. Kama mtu huna wifi unategemea internet hizi utakaa sana usubiri.
   
 17. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #17
  Oct 29, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,746
  Likes Received: 7,009
  Trophy Points: 280
  Voda wana 3g hadi mpanda tena inajaa 7.2mbps kabisa kwetu tanga voda, airtel, tigo wote wana 3g kasoro zantel tu.

  Mikoa yote kwenye makao makuu ya mkoa kuna 3g labda wewe tuambie mkoa upi hauna,
  (tanzania sio dar, arusha na moshi mkuu)
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #18
  Oct 29, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  ukiwa mkoa wa manyara unatumia connection ya tigo hiyo ggg hakuna, mikoa ifuatayo inahusika, singida, tabora shinyanga, morogoro, lindi, ntwara, wengine wanaweza kuongezea. kiukweli tunaibiwa behind the tech.
   
 19. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mkuu, yaani hiyo 'ggg' (teh teh) naona somtyms miyeyusho tu. Major cities, and sometimes makao makuu ya mkoa. Naona ni kama mkonga una corporate target mbali ya sisi watumiaji wa kawaida. Kiufupi good internet bado ni anasa kwetu. Bado kuna ka-distance mpaka tuje kufikia malengo. Gov inapenda statistics zaidi kuliko reality, hapo unategemea nini cha manufaa? Our only hope is to keep 'hoping'!
   
 20. S

  Soki JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mkuu vijijini kwenye watanzania wengi zaidi hizo huduma za wi-fi watazipataje wakati sasa hivi wifi inapatikana katika maeneo machache tu maalum esp mijini?
   
Loading...