Jinsi ya kutengeneza sim card reader.

Hinfay

Member
Jan 13, 2012
33
6
Habari zenu,naomba mnisaidie kwa kuniambia ni jinsi gani naweza nikafix sehemu ya kusomea sim card ya Samsung Galaxy s3 kwani kuna pini zimechomoka au mnaweza kuniambia ni wapi wanatengeneza.
 
Peleka kwa mafundi simu mjini will sort it out within minutes, but lazima uwe mwangalifu sana na battery yako otherwise lazima wakubadilishie na famba
 
Back
Top Bottom