Nokia Asha:Ku-submit reply topic pasipo kutumia reply ya post ya mtu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nokia Asha:Ku-submit reply topic pasipo kutumia reply ya post ya mtu.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Kuchasoni Kuchawangu, Oct 30, 2012.

 1. Kuchasoni Kuchawangu

  Kuchasoni Kuchawangu JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 469
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Ninatumia
  simu aina ya Nokia Asha 200 lakini nikijaribu ku submit reply ujumbe
  niliouweka hauonekani.Lakini nireply post ya mtu ujumbe unaonekana.Hiyo
  submit reply inakuwa kwa chini mwisho kabisa mwa thred husika.Naombeni
  msaada tafadhali.
   
Loading...