>>>Kuhusu B.Sc Software Engineering

DaNdy

Member
Aug 17, 2012
21
10
Napenda kujua kuhusu Software Engineering kwa hapa Tanzania, kwa upande wa soko kwa graduates wa course hii, makampuni unayoweza kufanya kazi na opportunities za kujiajiri unapomaliza. Naomba michango yenu wadau.

1st Year Student
B.Sc Software Engineering, CIVE-UDOM
 
DaNdy, maadam umeshachukua kozi tayari, naona usonge tu mbele.
Sishauri utarget soko la ajira Tanzania. Do what you like, and the whole of East Africa is yours to your deployment. hata Rwanda patakufaa sana.
 
Last edited by a moderator:
Soko tunaweza kusema hakuna kwa ujumla, kuna dalili za kufukuta lakini ni hatua za mwanzo kabisa cheki hizi hub za bongo zinafanya nini.

Pia usitegemee tu utakachofundishwa shule, bado mnapiga PASCAL? Nakushauri ujenge interest nje ya curriculum, jifunze modern skills na languages kama Java, C#, PHP, Python etc (Udacity | Free Online Courses. Advance your College Education & Career, https://www.coursera.org/category/cs-programming) pia angalia ni programming gani unataka kufanya na jenga experience huko so kama unataka kuprogram website fanya hivyo au kama unataka kutengeneza mobile download tools za Android na anza kazi. Pia skills zengine kama source control, testing etc. ambazo mara nyingi hazifundishwi shule.
 
shukran ndugu kwa ushauri wako nitaufanyia kazi.
 
Back
Top Bottom