Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Mifumo hii imeanza kutengenezwa 2013, sasa imekamilika. (Natafuta fedha ya kutengeneza mfumo Fulani imayotumia AI). Mifumo hii ya kuangalia matokeo unaweza kuiprogram kama chombo cha cassini...
2 Reactions
3 Replies
617 Views
Wale wakongwe wa ganda la ndizi rasmi jana wire tun waipiga pin kutoruhusu hata sumni ya data kutumika kaika internet haya tununue bando tukuze kipato cha nchi yetu.
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Android ni mmoja wapo wa mfumo maarufu wa Uendeshaji wa simu unaotumika sana ambao umetengenezwa na Google. Simu nyingi unazoziona Leo pamoja na kompyuta unazoziona sehemu mbalimbali zimetokana...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Ni rasmi sasa unaweza kutumia App original ya ChatGPT iliyoundwa na OpenAI na Microsoft. Ikumbukwe Akili Unde hiyo ilikuwa ikipatikana katika Computer pekee.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Internet privacy company Proton announced Wednesday a new VPN Observatory, tracking demand for its services to detect attacks on free speech in countries like Russia and Iran before they hit the...
1 Reactions
2 Replies
784 Views
Kwenye miaka ya sabini, ndege zilizokuwa maarufu sana ni DC9 iliyokuwa inatengezwa na kampuni ya MacDonnel Douglas ya huko Missouri kabla haijanunuliwa na Boeing, na VC10 iliyokuwa inatengezwa na...
0 Reactions
6 Replies
373 Views
2023 2123 Watu wengi wamekuwa wakijiuliza dunia itakuwaje ndani ya miaka mia moja ijayo? Leo hii ni 2023, je maisha yatakuwaje mwaka 2123? Huu ni utabiri kuhusu dunia itakavyokuwa miaka 100...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanajukwaa kwema? kama kichwa cha uzi kinavyosema, ni muda kidogo sijatembelea tovutu ya serikali yetu ya Tanzania, ikiwa na domain tanzania .go.tz. Lengo la uzi nikutaka cha kwanza kupongeza...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habar wataalamu. Hivi hakuna namna hizi simu deni likikushinda ukafanya namna fulani uwapotezee uendelee kuitumia maana naona kama wananichanganya hivi
6 Reactions
33 Replies
9K Views
Kujua dunia inakwendaje ni Jambo la Muhimu maana kuna maamuzi juu ambayo yakitolewa ni lazima yaguse maisha ya kila moja wetu. Maisha yanakua mabaya au mazuri zaidi hilo usiniulize utajaza...
9 Reactions
47 Replies
3K Views
Ndugu wana jamvi kama thread inavyojieleza, Naomba mdau ambaye anatumia au ameishawahi kutumia tv aina hii, naomba aniambie mchanganyiko mzuri wa rangi ili niweze kupata picha nzuri katika...
3 Reactions
11 Replies
5K Views
Habari wataalam, kuna shida yoyote katika mtandao wa twitter,mbona inazunguka tu? Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Samsung S23 Ultra inatarajiwa kutoka Februari mwaka huu na pia tetesi ni kwamba simu hiyo itakuja na kioo flat kabisa tofauti na ilivyo kwa toleo lililopita (Galaxy S22 Ultra) Samsung Galaxy S22...
9 Reactions
92 Replies
11K Views
Habari wana JamiiForums, na wadau wa humu kwenye Tech & Gadgets Forum nimeona sio mbaya leo kushare basics za Graphics Design kwa wale ambao wanafanya hii kitu tayari au wale ambao wana interest...
14 Reactions
27 Replies
4K Views
The TRAPPIEST-1e is a terrestrial exoplanet that orbits within the habitable zone around the ultracool dwarf star. It was discoverd by Michaël Gillon et al. on February of 2017. Similar to Earth's...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wadau. Nimekuwa na simu yangu iphone 6, lakn ghafla juzi hapa, nilitoa kwenye charger but nilipoiplug in baada ya muda ikakataa kuwaka na kuchaji...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Habarini wakuu, Rejea mada tajwa hapo juu. Nataka kujua ni app gani hutumika kuchorea ramani
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habar za muda huu wakuu!. Kama inavyoonesha hapo juu kwa izo brand 3 1. SKYWORTH 2. TCL 3. HISENSE nichague ipi kwa ajil ya matumiz yangu ya gheto .bajet yangu ni TV [emoji342] ya inchi 50...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Tumeona simu nyingi zinakufa betri (battery) kwa mda mfupi toka simu inunuliwe, hii inatokana na makosa ambayo tunafanya wakati wa kuchaji simu zetu. Makosa gani na nini kifanyike? Mara nyingi...
4 Reactions
3 Replies
5K Views
Mimi ni mdau mkubwa wa kusikiliza muziki kuna hii brand ya JBL nimeiona hawa wanamuziki muzuri Sana Lakini nimevutiwa na HIZI model zao JBL flip 5 na JBL flip essential IPi Bora yenye muziki...
1 Reactions
1 Replies
740 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…