Ni App gani hutumika kuchora ramani?

Zinazotumika sana ni ArcGIS (hii ni ya kulipia) au QGIS (Hii unatumia bure). Ila inabidi ule msuli wa mambo ya GIS (Geographical Information Systems) kabla hujaanza kuchora hizo ramani, zama YouTube utapata maarifa ya kutosha.
 
Back
Top Bottom