Mtandao wa Twitter una tatizo?

Mtandao wa Twitter una tatizo?

Habari wataalam, kuna shida yoyote katika mtandao wa twitter,mbona inazunguka tu?

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Update to X. Kama tayari kuna bugs nyingi mojawapo ni hiyo buffering ,picha hazionekani na video ukiplay inastuck ...

Solution:
Nenda kwenye app info and clear cache then restart the app ... you are good to go
 
Back
Top Bottom