Nyamwage JF-Expert Member Oct 16, 2020 634 1,535 Aug 8, 2023 #1 Wakulu habari Kuna boya kaniwekea game kwenye PC lakini version yake ni ya zamani 1.18.1.3s nawezaje ipandisha ikawa 1.47 ya sasa au 1.48 inayotoka kesho
Wakulu habari Kuna boya kaniwekea game kwenye PC lakini version yake ni ya zamani 1.18.1.3s nawezaje ipandisha ikawa 1.47 ya sasa au 1.48 inayotoka kesho
Baba Rhobi JF-Expert Member Nov 4, 2020 1,328 2,242 Aug 9, 2023 #2 Huyo huyo boya ndo anatakiwa alipandishe, au udownload upya.
Nyamwage JF-Expert Member Oct 16, 2020 634 1,535 Aug 10, 2023 Thread starter #3 Baba Rhobi said: Huyo huyo boya ndo anatakiwa alipandishe, au udownload upya. Click to expand... Wana update vipi
Baba Rhobi said: Huyo huyo boya ndo anatakiwa alipandishe, au udownload upya. Click to expand... Wana update vipi
Call m3 Anwar JF-Expert Member Apr 16, 2018 276 454 Aug 10, 2023 #4 Nyamwage said: Wana update vipi Click to expand... Uwe na Gb kama 9 hv za kuchezea. Kisha zama humu www.oceanofgames.com Utalikuta.
Nyamwage said: Wana update vipi Click to expand... Uwe na Gb kama 9 hv za kuchezea. Kisha zama humu www.oceanofgames.com Utalikuta.
Baba Rhobi JF-Expert Member Nov 4, 2020 1,328 2,242 Aug 10, 2023 #5 Nyamwage said: Wana update vipi Click to expand... Huo mzigo kuu download kama huna unlimited internet hutoboi mzee.
Nyamwage said: Wana update vipi Click to expand... Huo mzigo kuu download kama huna unlimited internet hutoboi mzee.
Nyamwage JF-Expert Member Oct 16, 2020 634 1,535 Aug 10, 2023 Thread starter #6 Baba Rhobi said: Huo mzigo kuu download kama huna unlimited internet hutoboi mzee. Click to expand... GB ngapi zinahitajika
Baba Rhobi said: Huo mzigo kuu download kama huna unlimited internet hutoboi mzee. Click to expand... GB ngapi zinahitajika