Tecno Yapindua Soko La Dunia

jay-millions

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
3,473
8,187
Hatimae transition holdings wamiliki wa tecno, infinix, oraimo na itel wameshika nafasi ya tano kidunia kwa uuzaji simu, pengine miaka mitao ijayo wakashika namba Moja.
Soma hapa Canalys: Global smartphone shipment down 10% in Q2, Transsion is now a top-five vendor
Screenshot_20230730_081005_Chrome.jpg
 
Iliyokua hapo sio Tecno. Ukisema utaje Tecno pekee basi usingeiona hata top 5 hapo. Transsion Holdings kiujumla inahusisha Tecno, itel na Infinix, sielewi kwa nini wamezijumuisha pamoja wakati kila moja inajitegemea kivyake na hata software zao ni tofauti. (Hiyo ni collection ya brand tatu kwa pamoja chini ya Transsion Holdings)
Tecno kama Tecno bado sana
Wangefanya hivyo kwa BBK nako ingekuwa fair, kwa sababu BBK nayo ina brands kubwa kama One Plus, Oppo, Vivo, Realme na iQOO kwa pamoja

Transsion imekua kwa kasi baada ya ku invest nchini India, na huu ni uthibitisho kuwa watu wengi wananunua midrange na low end kuliko flagships
 
Mbona oppo hujumuishwa na realme? Xiomi na poco?
 
Yawezekana tecno ya sasa imeboreshwa kiasi kwamba inashindana na iphone
Tecno kali kwa sasa ni Tecno Phantom X2 Pro, unaweza kusoma review yake gsmarena
Haiwezi kushindana hata na flagship za Realme, achilia mbali Apple

Watu wengi wananunua midrange na low end ndio maana Transsion anauza sana. Hizi Infinix Hot 11 zimejaa kila kona
 
Ukweli ni kwamba ni affordable na zinatimiza hitaji ndo maana raia wanazishobokea mno, na spea uhakika
 
Soko la highend linamilikiwa na samsung na apple mchina aliepenyaga huko ni huawei nae likamkuta jambo so kuna fitna nyingi sana kwenye soko la highend ndo maana hawahangaiki nalo
 
Mbona oppo hujumuishwa na realme? Xiomi na poco?
Xiaomi, Redmi na Poco hazi operate independently kama ilivyo kwa Tecno, Infinix wala itel. Zote ni simu ambazo kampuni mama ni Xiaomi na zina share vitu vingi sana. Ni kama series tu zilizopewa majina special

Hiyo Transsion ni more like BBK ambako kila kampuni inafanya kazi independently bila ku share kitu chochote. Hata software tu wanajitegemea
 
Soko la highend linamilikiwa na samsung na apple mchina aliepenyaga huko ni huawei nae likamkuta jambo so kuna fitna nyingi sana kwenye soko la highend ndo maana hawahangaiki nalo
Kwenye high end ni Apple ndio ameteka soko. Samsung labda kwa Android ndio yupo juu
Ukiangalia Samsung nyingi zinazouza sana sio flagship, unaweza kukuta top ten simu zilizouzwa sana nane ni flagship za Apple halafu mbili ni low end au midrange za Samsung
 
Hii nakubali mkuu, iphone ataendelea kutawala soko hilo kwa miaka mingi zaidi
 
Ukweli ni kwamba ni affordable na zinatimiza hitaji ndo maana raia wanazishobokea mno, na spea uhakika
Yeah ni affordable, kwa sababu wanatumia cheap software na updates ni more like miaka miwili tu.
Hata hivyo wanapenda kutumia outdated hardware mfano chipsets za miaka ya nyuma anaziweka kwenye simu za leo hii mwishoni bei inakuwa chini then ina attract watu wengi
 
Back
Top Bottom