Njia ipi rahisi kutoa hela Skrill mpaka kuifikisha mkononi?

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,214
56,855
Nafikiri swali linajitosheleza..

Nitaweka na la nyongeza je naweza fanya online banking mfano najisajili online,natoa hela Skrill naweka bank then naihamishia kwenye simu is it possible..???

Nina malalamiko na utaratibu wa hapa nchini kwetu!, tunaishi kama tupo miaka ya 90 huko!..

Nina malalamiko nikiweka hapa nitatafutwa kama kigogo😅

Naomba niishie hapo.

Karibuni waungwana..
 
Nafikiri swali linajitosheleza..

Nitaweka na la nyongeza je naweza fanya online banking mfano najisajili online,natoa hela Skrill naweka bank then naihamishia kwenye simu is it possible..???

Nina malalamiko na utaratibu wa hapa nchini kwetu!, tunaishi kama tupo miaka ya 90 huko!..
Ninamalalamiko nikiweka hapa nitatafutwa kama kigogo😅

Naomba niishie hapo.

Karibuni waungwana..
Hili suala watu tumelalamika sana hasa paypal kwakuwa serikali haitaki sikia kilio chetu mtu inakugharimu sana kutoa pesa paypal, sasa tumeamua tumia safaricom. Kenya wanaingiza pesa ambayo serikali ingeingiza kupitia kodi via safaricom sasa inaenda kenya.
Hawa wazee walioshika nafasi huko BOT wana ma PhD lakini wako outdated na dunia inakoelekea hawajui. Mfano mimi kila mwezi sikosi pitisha pesa walau usd 800 safaricom na nakatwa pesa hasa from paypal to safaricom then to mpesa tanzania yani sijui serikali kwanini haitaki kwenda na teknolojia
 
Mkuu hii komenti yako inataka kunichochoe kufurumusha mitusi kwenye hizo idara nashukuru ninashipa la kujizui lkn likinishinda walahi siwaachi salama..😅
Inakera na inaboa sana sijui hawawazi.. wanalalamika vijana tujiajiri na ukijiajiri unakutana na vikwazo ambavyo havina mbele wala nyuma!
Nina mengi ila naomba niishie hapa mtima wa matusi usije nipeleka nyuma ya nondo au kutoa mi faini ya mihela..
 
Nilitengeneza online store ya kuuza vitu kama ngozi lakini imekuwa ngumu kuiinteract na paypal kisa serikali. Haya napata shida naoteza client wengi etsy kisa siwezi lipwa kwa njia ya kawaida mpaka client awe ready kutumia njia tofauti kitu ambacho kwake ni risk yani huduma za fedha za tanzania bwana basi tu.
Ukitaka uza kinyago ulichonunua pale mwenge ukitume nje ndo utajua jinsi gani nchi hii ina mambo ya ajabu
 
Hili suala watu tumelalamika sana hasa paypal kwakuwa serikali haitaki sikia kilio chetu mtu inakugharimu sana kutoa pesa paypal, sasa tumeamua tumia safaricom. Kenya wanaingiza pesa ambayo serikali ingeingiza kupitia kodi via safaricom sasa inaenda kenya.
Hawa wazee walioshika nafasi huko BOT wana ma PhD lakini wako outdated na dunia inakoelekea hawajui. Mfano mimi kila mwezi sikosi pitisha pesa walau usd 800 safaricom na nakatwa pesa hasa from paypal to safaricom then to mpesa tanzania yani sijui serikali kwanini haitaki kwenda na teknolojia
Well stated mkuu!
 
Well stated mkuu!
Yani acha tu mkuu hapa asubuhi nimetoa pesa payoneer makato yake makubwa lakini ingekuwa paypal inafanya kazi kwa urahisi ingekuwa shwari na imebidi nitoe payoneer kwasababu mzunguko wa paypal safaricom, then mpesa then wakala ukiwa watoa pesa nyingi kama milion makato ni makubwa kuliko payoneer
 
Nilitengeneza online store ya kuuza vitu kama ngozi lakini imekuwa ngumu kuiinteract na paypal kisa serikali. Haya napata shida naoteza client wengi etsy kisa siwezi lipwa kwa njia ya kawaida mpaka client awe ready kutumia njia tofauti kitu ambacho kwake ni risk yani huduma za fedha za tanzania bwana basi tu.
Ukitaka uza kinyago ulichonunua pale mwenge ukitume nje ndo utajua jinsi gani nchi hii ina mambo ya ajabu
BOT tumeshaishinda mahitaji.. hii inamaana viongozi wabadilishwe maana wameonekana hawamudu mahitaji yetu hivyo hawatufai.. kazi Yao wanawaza money laundering tu!!
Ni sawa na mtoto anaekuwa mwili tu ila akili ndo hivyo!.
 
Yani money laundering yani hizi huduma watu wanaingiza pesa ndani kuliko wanavyotoa nje, yani wanakosa mapato ya kigeni zaidi. Halfu paypal wako makini sana na money activities zinazoendelea kiasi kwamba wako makini sana na pesa inayoita kwao. anyway serikali inachekehsa sana na kusikitisha pia
 
Yaani kuna mambo hii nchi tena ya njia za malipo yako nyuma sana , tena inafikia hatua watu tunakosa opportunity za mtandaoni kisa mambo machache.

Achana tu na malipo we fika uhamiaji unaomba pass ya kusafiria ndio utajua wewe sio mtanzania.
 
Yani eti ukitaka kupata passport unaulizwa maswali wakati ni haki yako yani sisi tuko sijui zama za mawe
 
Yani acha tu mkuu hapa asubuhi nimetoa pesa payoneer makato yake makubwa lakini ingekuwa paypal inafanya kazi kwa urahisi ingekuwa shwari na imebidi nitoe payoneer kwasababu mzunguko wa paypal safaricom, then mpesa then wakala ukiwa watoa pesa nyingi kama milion makato ni makubwa kuliko payoneer
Hiyo payoneer ipoje??
 
Back
Top Bottom