Shirika la sayansi za anga za juu la Marekani yaani NASA, limefanikiwa kutengeneza ndege itakayo safiri kwa Kasi kubwa kuliko ya Ile ndege ya zamani iliyostaafishwa yaani Concorde.
Ndege hiyo...
I can't wait Tesla watoe simu zao so niseme kwaheri na iPhone coz nimewachoka na monopoly yao na ku complicate simple things kufanya ngumu eg ringtones kuweka simple tu, to download everything...
Naomba kwa yeyote aliyetumia vifa vya Sundar kama Solar panel,betri za solar,tv za solar, anifahamishe ubora wake .Nina mpango wa kununua vifaa vya solar kwa matumizi ya nyumba yangu kijijini...
Hello guys;
Wale wanaofuatilia maswala ya anga tunaomba tuelimishane wakuu...
Leo habari kubwa nimekutana nayo mtandao wa Twitter ni juu ya India kufanikiwa na wao kutua mwezini. Wakitanguliwa...
Kama kuna mtu ambaye ni mtaalamu wa Websites na Blog nahitaji mtu ambaye anajua designing nzuri za website na blog na kuwezesha akaunti kukubaliwa na Adsence ili niweze kulipwa naombeni anicheki...
Habari za jioni wanajamvi, kutokana na shughuri zangu, nna matumizi makubwa kiasi ya smartphone, yaan nna magroup mengi ya Whatsapp, nna kazi kadhaa za online. Sasa hii simu nikiwasha tu data...
Habari! Niemeamua kuandika thread hii kutokana na kuona vijana wengi sana wanaosomea mambo ya tehama na wengine watundu watundu waliosoma short course kuchukulia vitu rahisi na kutokuwa na usiri...
Habari ndugu wana jukwaa, Ninaomba kwa anayefahamu app yoyote (iwe ya kulipia au isiyo) inayoweza weza kunisaidia kutrack namba ya simu ili kufahamu iko mahali gani na pia kuniwezesha kuifikia...
Yeyote anayefahamu jinsi ya kudownload latest movies maana ninejaribu megabox kwa kutumia torrent sipati matokeo mazuri na pia popcorn time kwangu haifanyi kazi tena
Mwenye njia mbadala anipe maujuzi
Kwa nini watu wengi wana-switch from Windows 11 to Windows 10?, Windows 11 haijawa successfully kama tulivyotegemea mbali ya kuwa na features na Promo kubwa?
Habar wakuu simu yangu ya Xiaomi Redmi 11 pro haifungui picha nkiwa jiiforum naperuzi nyuzi sehemu ya nyuzi yenye picha haifunguku hasa kama nyuzi ya tupia picha ya warembo wakali