Kwanini watu wengi wana-switch from Windows 11 to Windows 10?

Kwanini watu wengi wana-switch from Windows 11 to Windows 10?

amando pascal

Member
Joined
Sep 30, 2018
Posts
7
Reaction score
30
Kwa nini watu wengi wana-switch from Windows 11 to Windows 10?, Windows 11 haijawa successfully kama tulivyotegemea mbali ya kuwa na features na Promo kubwa?
IMG_1394.jpg
 
Nimetulia kwenye 11 hasa ukiwa na machine ya touch unafaidi
 
Windows zote zipo hivyo hata wakati 8 inatoka wengi walikua 7, then 10 ikaja taratibu, hata 11 baadae itakua kubwa.

Kwa processor za kisasa kubwa na Ndogo ni lazima utumie 11, 10 imeshakua Outdated.
Mkuu wazungumziaje ujio wa windows 12
 
Mkuu wazungumziaje ujio wa windows 12
Ngumu kujua bado sana, sema hizo tetesi ni kwamba inakuja kuondoa legacy features, hivyo tegemea mabadiliko makubwa mno kiutendaji, na kutakua na controvesy za Kutosha.
 
Windows me ndiyo ipi.. Ama unasemea Ubuntu
Anamaanisha Windows mellenium (Windows me).
Ilipotoka Windows 98 ikaja Windows mellenium na Windows 2000 kisha zikaja kuwa replaced na Windows Xp.Windows mellenium ilikuwa MS Dos-based wakati Windows 2000 ilikuwa based on Windows NT.
 
Nadhani kati ya window ambayo haikupendwa ni window 8. Wengi tulihama kutoka 7 kwenda 10
Windows 8 ilikua windows mbovu kuliko zote mara mia mtu alikua tayari atumie windows XP au win 7 na sio win 8...
 
Watu wengi wangapi? Unaweza ukaweka takwimu?
 
Mbn mm nimetulia kwenye obuntu tu huku full command Kila kitu mpk kuinstall APK unahitaji kujia command ubabe sana
 
Back
Top Bottom