Msaada: Modem inaconnect na kudisconnect yenyewe

Mkushi Mbishi

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2018
Posts
347
Reaction score
560
Habar wataalam

Modem ukiichomeka inaconnect then baada ya muda inadisconnect yenyewe na unakuwa inafanya hivyo muda wote.

Nini litakuwa tatizo?
 
Shida Ni kuwa ukiiweka tu haileti option ya kuinstall Yani inafunguka moja kwa moja Kama vile program imeshakuwa installed na wakati nikiangalia kwenye programs haipo na hili ttzo lilianza wakat natumia avg antivirus nilipoichomeka ikaditect setting zake Kama virus ikaweka quarantine..nikaunistall avg..ili nianze kuinstall upya modem...kuiweka tu ndio ukaanza hayo mapicha
 
Aina ya modem/model au picha tuma tukusaidie kwa urahisi...
 
download.jpg
 
Back
Top Bottom