Redmi Xiaomi 11pro haifungui picha nkiwa jamiiforum

Redmi Xiaomi 11pro haifungui picha nkiwa jamiiforum

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,897
Reaction score
4,660
Habar wakuu simu yangu ya Xiaomi Redmi 11 pro haifungui picha nkiwa jiiforum naperuzi nyuzi sehemu ya nyuzi yenye picha haifunguku hasa kama nyuzi ya tupia picha ya warembo wakali
 
Tumieni browser mbona mambo nje nje huku mnakosa kuona pisi za kwenda kisa mnalazimisha kutumia app
 
Model ya Wapi maana hawa jamaa na hii version yao wametoa simu kama chawa...

Redmi Note 11
Redmi Note 11 +
Redmi Note 11 Pro
Redmi Note 11 Pro 5G
Redmi Note 11 Pro (china)
Redmi Note 11 Pro + 5G(India)

Pia Tubia Browser, app mara nyingi inazingua.
 
Habar wakuu simu yangu ya Xiaomi Redmi 11 pro haifungui picha nkiwa jiiforum naperuzi nyuzi sehemu ya nyuzi yenye picha haifunguku hasa kama nyuzi ya tupia picha ya warembo wakali
Simu mbovu, uza mapema kabla haijakufia mkuu
 
Back
Top Bottom