Hiyo ni gas tu imepungua kama friji inafanya kazi kawaida ila haigandishi ni gas tu akajaze mtungi kitu na boksi. hapo utakuwa umemsadia kiufundi na sio mengine =D =DKama uko Dar nicheki nikusaidie kiufundi
Kama uko Dar nicheki nikusaidie kiufundi
Linakula umeme sasa ulitaka lile mchemsho...
PELEKA KWA FUNDI MKUU LIKAREKEBISHWE..
Sijaona mtu aliyetoa jibu la kukata kiu yako ya kufahamu chanzo cha friji lako kukata gesi haraka.. jibu zuri ni kwamba, wanaouza mafriji used huwa wanatoa mitungi halisi iliyokuja na friji kisha wanaweka feki.. ukinunua friji dukani, hilo tatizo la mtungi kuisha gesi utaliona baada ya miaka saba au zaidi.Habari wanajf.. Poleni na majukum. Naombeni kusaidiwa.. Friji langu halipozi tena zaidi tu linakula umeme kuliko kawaida. Naombani msaada wenu.. Nini tatizo hasa?
Sasa hiyo mitungi huuzwaje?Sijaona mtu aliyetoa jibu la kukata kiu yako ya kufahamu chanzo cha friji lako kukata gesi haraka.. jibu zuri ni kwamba, wanaouza mafriji used huwa wanatoa mitungi halisi iliyokuja na friji kisha wanaweka feki.. ukinunua friji dukani, hilo tatizo la mtungi kuisha gesi utaliona baada ya miaka saba au zaidi.
Mitungi original huwa inakuja na friji ambayo mingi huaribika safarini.. ukitaka ya kununua utauziwa kama huo uliokuwa nao.. dawa kununua friji dukani other wise uzoee kuongeza gesi kila mwezi.Sasa hiyo mitungi huuzwaje?
Kuongeza ges je yaweza kugharim kias gani mkuu? Naomba msaaadaMitungi original huwa inakuja na friji ambayo mingi huaribika safarini.. ukitaka ya kununua utauziwa kama huo uliokuwa nao.. dawa kununua friji dukani other wise uzoee kuongeza gesi kila mwezi.
Yaani lknaniumiza sana...hili suala maana naweka barafu zangu harafu hazigandi tena.. Lkn mimi cjawahi tumia kisu kubandua barafu...Tafuta fundi mzuri atakayefanya check up kwanza kabla ya kujaza hyo gas.Kwa mf binafs nilikuwa napata shida km yako na nilikuwa najaza gas kila baada ya miez miwil mwisho nilipata fund ambaye kwanza alilicheck ktk mirija take ns kuniambia kuwa Luna mirija sehemu 2 ina UFA(imesasuka ) ilisababishwa na kutumia vitu venywe ncha Kali km kisu n.k wakat unataka kutoa barafu au kitu kilichoganda sn na baada ya hapo tatizo limekwisha kabisa.
Kwa hiyo litafanya kazi yake kama zaman au inakuwaje hapo bosi? Je kuhusu matumizi makubwa ya umeme yanaweza pungua? AuTafuta fundi mzuri atakayefanya check up kwanza kabla ya kujaza hyo gas.Kwa mf binafs nilikuwa napata shida km yako na nilikuwa najaza gas kila baada ya miez miwil mwisho nilipata fund ambaye kwanza alilicheck ktk mirija take ns kuniambia kuwa Luna mirija sehemu 2 ina UFA(imesasuka ) ilisababishwa na kutumia vitu venywe ncha Kali km kisu n.k wakat unataka kutoa barafu au kitu kilichoganda sn na baada ya hapo tatizo limekwisha kabisa.
Kabla ya kujaza hiyo gas hakikisha hakuna sehemu inayovujisha kwanza kisha ujaze bei ya chini elfu 20000Aksanteni nyote kwa ushauri wenu.. Vipi kuhusu hiyo gas inagharim kiasi gani?