Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Salaam wote! Wakuu ninasumbuliwa kwamuda mrefu sasa na vijimatangazo kwenye web-browser (IE10 na FFX 20) ambavyo vinajitokeza upande wa chini kulia au kushoto..tazama attachment. naombeni msaada...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Turns out that the elusive Fountain of Youth may exist after all … in our heads. Scientists at the Albert Einstein School of Medicine say they've discovered a brain region that may control...
0 Reactions
4 Replies
942 Views
Habari wana jamvi.. Karibuni katika mjadala huu wa wazi. Nimekua nikijiuliza sababu zinazosababisha website kuwa hacked, lakini sijapata jibu kamili. Je ni loopholes zinazosababishwa na...
0 Reactions
6 Replies
806 Views
Acount yangu ya facebook inaniambia chat disconnected na nakuwa kama niko offline siwezi ona mtu akini inbox hadi ni log off niingie tena any help?
0 Reactions
8 Replies
897 Views
Kama kuna uwezekana wa kupata vitabu vya shule za msingi na sekondari nitashukuru!
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Nataka kununua smartphone ambayo haina usumbufu kama ninaopata ktk iphone 3g( hii haisapoti whatsapp wala fb). Nataka kununua cm ambayo itasapot mitandao common ya kijamii(...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu, natumia simu ( NOKIA E72 ). Nimeingia kwenye blog yangu nimeweza kufanya kila kitu ikiwemo kuapload my profile picture. Sasa tatizo nashindwa kupost ( New posts ) . Mwenye kujua kunisaidia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Natumia nokia X2-01,nahitaji ku'unlock memory card yangu yeyote mwenye ufahamu katika hili naomba mnisaidie
0 Reactions
0 Replies
622 Views
wakuu naomba msaada nawezaje pata msaada jinsi ya kupata yoo_flux joomla template 2.5,3.0 for free
0 Reactions
1 Replies
2K Views
biashara ambayo inaweza lipa, angalau hata elfu kumi kwa siku...naomba mawazo kwa wanaofanya na wanaoona wengine wakifanya.
0 Reactions
41 Replies
12K Views
Shodan's John Matherly discusses how the seach engine differentiates itself from Google and Yahoo. He speaks with Emily Chang on Bloomberg Television's "Bloomberg West." (Source: Bloomberg).. Lets...
0 Reactions
0 Replies
585 Views
wakuu..kuna mambo nahitaji kueleweshwa kuhusu kutengeneza matangazo..naomba mtu mwenye ujuzi huu anisaidie..nataka kudesign tangazo la gazeti..tv na la internet and i dont know even where to...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wadau wa jamvi hili, Nataka kununua Laptop acer aspire 5733 mpya kwa yeyote mwenye uzoefu nayo au anatumia sasa hivi naomba anijuze tafadhali ili nisiingie chaka. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
671 Views
jamani nahitaji kujua bei ya hichi kifaa,kwa wale wanaoishi dar es salaam na arusha naamini vinapatikana huko ,me nipo mbeya huku havipatikani.....
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu na wataalamu wa maswala ya compyuter,hv hamjafanya utafiti na kugundua kuwa tupo mamia ya watu tunaoitaji kujua mambo ya IT sana? Mfano mimi napenda sana kujua jinsi com...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
jaman natumia window seven..laptop yangu ni emachines...kuna crack moja inaitwa remove WAT ..nimekajaribu kamekataa so guys i urgent need your help GT
0 Reactions
2 Replies
999 Views
Ninarusha picha kwa kutumia cable sasa nahitaji amplifire yenye nguvu zaidi ya niliyonayo. Au kama kuna njia nyingine naweza kutumia ili kufikisha picha vizuri zaidi. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Wadau pc yangu ilivamiwa na virus ambaye aliathiri program hali iliyopelekea zikawa haziwezi kurun, nilipofanya scanning ilifanikiwa kunasa trojan wawili (2) . Hata hivyo antvirus imeweza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
habari wadauNatumia game ya ps2,kwa muda nimekuwa nikitumia cd kucheza game,lakini iliposumbua kuna mtu akanipa flash yenye game ya mpira,ambayo nimeitumia kama miezi mitatu nayo imeleta...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
natumia HP 630 kuna tatito la kujaa kwa loca disc c, mwanzo kulikuwa na free space 57, lakini ghafla imejaa hadi kufikia free space GB 1, naomba msaada kwa mtu anayejua suluhu la tatizo hili
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom