Techno N3 vs Huawei y 200

Techno N3 vs Huawei y 200

Hansy wa East

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
446
Reaction score
232
wadau nataka na mm nihamie android kidogo maana saiz natumia symbian 40 ya nokia n3 sasa nna kama laki 2 hv na ishirini nimewaza kati ya huawei y200 na techno N3 sasa msaada wako hapa kwa ushauri ipi nzuri zaidi au kama kunanyingine inapatikana kwa hyo bei bac tuchangiane mawazo natanguliza shukrani
 
kuna uzi wa tecno jana ulikuwa hapa embu uutafute
 
wadau nataka na mm nihamie android kidogo maana saiz natumia symbian 40 ya nokia n3 sasa nna kama laki 2 hv na ishirini nimewaza kati ya huawei y200 na techno n3 sasa msaada wako hapa kwa ushauri ipi nzuri zaidi au kama kunanyingine inapatikana kwa hyo bei bac tuchangiane mawazo natanguliza shukrani

huawei y200
 
kama utacheza karata vizuri hio hela unaweza pata simu ya ics inayoweza kuwa update kwenda jelly bean. usifate mkumbo.

samsung wana simu 3 mpya
-galaxy chat
-galaxy discover
-galaxy rush

sony wana experia tipo

huawei wana ascend y 201 pro

zote zina ram 512 na processor 800 hadi 1000mhz

bei ni chini ya 150usd zote kibongo bongo itakua around 200,000 hadi 250,000
 
Kuna htc wildfire hapa A510e nipe 150000, unapata kila charger, cable na earphone
 
asante kaka hv kama unaijua HTC a 1818 nambie ipo vp maana kunajamaa anataka kuniuzia kwa laki 2 na nusu vp ntakua nimeumia au?
Huo uchawi sina mkuu, ngoja wadau wa handset waje kukusaidia.
Mi nilianza na nokia namaliza nao
 
Back
Top Bottom