mwenye uwezo wa ku unlock simu hiyo, Tafadhali Naomba msaada.
Pole nilipata tatizo hilo hilo na HTC yangu. Yangu ni htc T Mobile. Kama iko sawa na yangu bonyeza knob ya pili baada ya ile ya kijani ya kupigia, then bonyeza herufi A pana picha ya kufuli. Kama iko tofauti pole. Ila kuna vijana watundu na simu utapata msaada tu.
mwenye uwezo wa ku unlock simu hiyo, Tafadhali Naomba msaada.
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us