Eistein
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 1,107
- 482
Heshima kwenu wakuu
nina king"amuzi cha startimes cha toleo la kwanza kabisa cha mwaka 2011,yaani kabla ya kuhamia digital rasmi nilikwisha kinunua nikakitumia kama miezi 4 tu nikakitoa kwa sababu ya kustalk kwa sababu yaani ilikuwa hata kunguru akitua tu hapo katika antena, au upepo mkali ukivuma ni shida tupu scrach mpaka basi, nikaona nkitoe hewani..
Sasa baada ya mitambo ya analogia kuzimwa nikakirudisha tena hewani, ni tabu tupu nduguzangu.. Yaani dakika 5 unapata chanel dakika 2 kimezima mara no channel acess, mara unasikia sauti tupu.. Mara no signal.. Nimeshawapigia sana hao customer care wa startimes lakini Majibu/USHAURI wao ni sawa na ushauri wa giza. Mara wanakwambia geuza antena iangalie kusini, mara magharibi, mara signal strengh ifike 30%, unafanya hivyo wakati mwingine singnal strenght inakuwa 40% but shida ziko palepale
naomba kwa anayejua cha kufanya kupunguza hiyo scratching na matatizo ya no signal anisaidie nduguzangu