Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wadau naomba msaada...hizi headphone zimekataa ku connect kwenye computer pamoja na simu....nifanyaje wazee, msaada wenu waungwana. Nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
655 Views
Wakuu naomba mwenye link yenye film/movie, the hard way, anitupie. Au kama unajua naweza kuipata wapi hapa mjini nistue.
0 Reactions
0 Replies
987 Views
kikundi cha hackers kimekamatwa kwa tuhuma ya kuiba zaidi ya 67 bilioni baada ya kuhack system za benki na kubadilisha vijifiga ndani ya akaunt zao hackersss nouma source 8 charged in $45...
0 Reactions
0 Replies
827 Views
naomba msaada tatizo ni nini kati ya display imekufa au mkanda wa connection kati ya screen na motherboard? coz inaonesha mistari mistari then inabadilika inakuwa nyeupe kabisa msaada wenu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu ni printer gani coloured ya bei nafuu isiyosumbua kwenye ujazaji wa wino.dah nimenunua hp photosmart 6510 inasumbua sana kwenye ujazaji wa wino mara nyingine inagoma kabisa kuprint
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu,ninaomba msaada kwa yeyote mwenye uelewa na hii kitu,pc aina ya samsung ukiiwasha inawaka then ikifika sehemu ya ku load windows inazima na kuwaka tena,inazima tena na kuwaka...
0 Reactions
0 Replies
660 Views
Nahitaj simu mpya ila iwe inameet conditions zifuatazo: 1.High quality music(Kwa wanaopenda muzik watanielewa,mfano Nokia xpressmusic ina quality ya juu sana ya muzik kuliko hata Nokia C3 japo C3...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nani alishwahi kutumia whitedoor ku upgrade iphone kwa kutumia white door anipe instructions.
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Wa JF, nimeinstall Arc GIS 9.3 sasa katika harakati ya kuingiza licence (ni ya kuchakachua) naambiwa “Failed to change FLEXIm Licence Server. You need to be an administrator to perform this...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafuta fundi mzuri wa laptop, ina shida kwenye charging, haiwaki kabisa. Nimeenda kwa mafundi wamechemsha na yawezekana wameharibu hata vingine. Nimeipata mwaka jana haijachoka. Tafadhali kama...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Salam ! Naomba kwenye kujua tatizo laweza kuwa ninni maana hapo mwanzo nilikuwa nafungua vizuri Mail,ingawa hii simu wakati nainunua mpya ilikuwa na Opera Min ingawa sikuwa naitumia kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jinsi ya kudownload window kwenye internet..
0 Reactions
1 Replies
769 Views
Heshima mbele wakuu! Natumia Macbook na natumia Nokia E71 kama wireless router. Tatizo ni kuwa naweza kusurf kwenye internet bila shida ila internet hiyo haitumiki kwenye outlook ambayo ndiyo...
0 Reactions
2 Replies
832 Views
WADAU hii simu imefungwa kwa network ya njee , sasa nataka niweze kutumia hapa Tz .
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naomben mwenye kujua bei ya intel motherboard anijulishe.
0 Reactions
0 Replies
520 Views
Wadau naomba ufafanuzi wa kina kuhusu maana, ubora, na tofauti iliyopo kati ya TV za PLASMA, LCD na LED
0 Reactions
4 Replies
1K Views
jaman nina computer kubwa aina ya dell tatizo lake ni kuwa haiwaki ili nitumie, nikiconect waya wa umeme then nika bonyeza hii power on button haiwaki badala yake ile botton inawaka taa yenye rang...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Heshima kwenu viongozi Natatizo Internet Explorer hai connect inanipa msg kuwa Internet download manager is registered for 30 days naomba msaada nifanyeje ili ni download free au nipate code nomba...
0 Reactions
2 Replies
747 Views
Technicians jamani tafadha nisaidieni activator au product key ya office 2013 niliweka kwenye lascate ya cd wamelamba kila ki2 plz
0 Reactions
2 Replies
691 Views
Mimi no mtumiaji WA huawei videos u8150, nime-upgrade to gingerbread, vision: 6.5.1 nakunipeleka android 2.3.4. Ilanashindwa kuunga bundle / kifurushi chochote inaleta msg ( connection problem...
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Back
Top Bottom