sumsung galax. s11....hardware
asalaa...natafuta fundi wa uhakika wa cm kwa dar. naomba mnijuze nitampata maeneo gani nina cm nataka nimpelekee anirekebishie. asante.
Simu yako ni aina gani na nini tatizo?mafundi wa simu wapo wa aina mbili wa software na wale wa hardware fafanua tatizo. Nikupe fundi
Nenda kwa sele pale karibu na sapna samora road ila andaa mpunga wa kutosha ,
Nenda kwa sapna posta,kuna kitengo cha mafundi,very professional,wapo vizuri kama wanajua wanakusaidia kama haiwezekani they tell you the truth,hawabahatishi.kama hutaki simu ichezewe ovyo nenda pale.