vennyvencer
Member
- Feb 28, 2012
- 49
- 4
msaada kwa wakubwa wanaojua masuala ya ku root hizi android phones hususan samsung galaxy pocket ambayo ndiyo simu niliyonayo hivi sasa na naomba tujulishane kuhusu faida na hasara za ku root hizi simu na hivi inawezekana ku unroot galaxy pocket inawezekana??na kipi bora kati ya hivi ku root au kuto kuroot simu?