Msaada Jinsi Ya Kudownload clip za u tube

inspectorbenja

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
657
Reaction score
733
Wadau habari,najya kuna ma computa wiz humu.Nisaidieni.
Je ninawezaje kudownload clip nazoziona you tube ili niziweke kwenye storage devise zangu.Je inahiitajika
software specia au.Wadau giza nijuzeni.
 
girls-download-video_thumb%5B3%5D.jpg
 
Wadau habari,najya kuna ma computa wiz humu.Nisaidieni.
Je ninawezaje kudownload clip nazoziona you tube ili niziweke kwenye storage devise zangu.Je inahiitajika
software specia au.Wadau giza nijuzeni.
man ujue watu washazichoka post za aina hii maana kuna mamia humu wameuliza swali kama lako na wameshapatiwa soln so why wanaona uzito kujibu suala lile lile kila siku.
Weye ingia Gugo usearch utakach ukishindwa ndo uwe unauliza humu.
 
Wadau habari,najya kuna ma computa wiz humu.Nisaidieni.
Je ninawezaje kudownload clip nazoziona you tube ili niziweke kwenye storage devise zangu.Je inahiitajika
software specia au.Wadau giza nijuzeni.
Boss hiyo ni kazi rahisi sana wala usiumize kichwa Tafuta softwere inaitwa IDM (internet Download Maneger)
then uki install hiyo umemaliza.
 
Wadau habari,najya kuna ma computa wiz humu.Nisaidieni.
Je ninawezaje kudownload clip nazoziona you tube ili niziweke kwenye storage devise zangu.Je inahiitajika
software specia au.Wadau giza nijuzeni.

kama ukiona hutaki kujaza masoftwares ktk laptop kimeo yake unaweza kwenda ssyoutube.com ikifunguka! Nenda ukopi link ya hyo video! Njoo uipaste hapo ssyoutube kuna sehem wanakuonesha, ukibofya download zinakuja formats mbalimbali mfano mp4, una chagua ushushe ipi, inashuka bila chenga
 
Back
Top Bottom