Msaada:kwa anayefaham iv TZ01 ndo mtandao gani na inakuaje ukitaka kuutumia?

mapunda b

JF-Expert Member
Feb 8, 2013
418
19
Katika pitapita zangu na kusearch network zenye 3g nkakutana na iyo kitu ufafanuzi tafadhari......
 
Hii imepndekezwa sana na chief mkwawa mtaalam wa mambo ya Digital kuwa ni network yenye speed kali sana hivyo kama umeipata chagua ili uinjoi speed ya ajabu.
 
Last edited by a moderator:
Hii imepndekezwa sana na chief mkwawa mtaalam wa mambo ya Digital kuwa ni network yenye speed kali sana hivyo kama umeipata chagua ili uinjoi speed ya ajabu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom