Namna ya kufuta chaneli ulizoongeza ZUKU

Namna ya kufuta chaneli ulizoongeza ZUKU

Burton86jm

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
616
Reaction score
183
Wadau naomba msaada,baada ya kugeuza dish la Zuku kwenda SES At 4.9 degree,nikaongeza chaneli za FTA(free to air) nikafanikiwa ila sasa chaneli za Zuku zote hazipo zimebaki hizo(fta),pia hata nikizifuta(factory default) hazifutiki.Msaada pliz kwaa mwenye ufahamu.
 
Mi mwenyewe ndio fundi niligeuza na nikiweka dekoda nyingine ya zuku inakuwa fresh kabisa.
 
Njia rahisi ni kuwacontact Zuku wenyewe.
Huenda hiyo decorder ya Zuku imeCorrupt baada ya hizo free channel kuingia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom