sijajaribu ila wadau wanasema restore inafanya kazi.
wakati unainstall wp7.8 zune ilianza kubackup kwanza then ndo ikainstall hio os. kama uliinstall kwa tools nyengine bila zune hayo majanga mengine.
sasa hapa unatakiwa kurestore simu kwa kutumia hio backup. cha kwanza icheki kama ipo inakaa path hii kwenye window C:\Users\YOURUSERNAME
\AppData\Local\Microsoft\Wind
ows Phone Update\
ukishahakikisha backup ipo search update kwenye zune iklileta majibu utapata na option ya restore.
jamaa wa xda pia wana solution nyengine na tool yao icheki hapa
[APP] [UPDATED 9/27/2011]V1.9 Working App to Backup Windows Phone 7 via ZUNE ANY TIME - xda-developers