msaada;fundi mzuri wa digital camera(samsung ST30) dar au morogoro..........

msaada;fundi mzuri wa digital camera(samsung ST30) dar au morogoro..........

mapunda b

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
418
Reaction score
19
nina kamera yangu samsung ST30 inakataa kuwa na mara chache ikiwaka inajizimazima yenyewe au screen inakua green sijaelewa tatizo ni nini haswa na uku niliko sizanikama kuna mafundi wa ukwel kwan wengi ni wababaishaji hivyo kwenye tarehe 15 mwezi huu mama yangu anakuja dar akielekea moro so kwa mtu yeyote anayemfaham fundi huyo naomba msaada tafadhari no yangu ni 0653611245
Nawasilisha wakuu.......

THANKS IN ADVANCE.....
 
Kwa Dar nenda posta kuna wakala wa Samsung wanayefundi pale wa vifaa vote vya electronics na umeme. Mimi mwaka jana nilipeleka camera yangu pale ambayo ilikuwa na shida ya kupiga picha mchana. Alinitengenezea sasa inapiga mzigo kama mpya. Ila wanagharama kidogo. Mimi camera yangu ilikuwa na shida ya shutter alitengeneza kwa 60,000/=
 
kwa dar nenda posta kuna wakala wa samsung wanayefundi pale wa vifaa vote vya electronics na umeme. Mimi mwaka jana nilipeleka camera yangu pale ambayo ilikuwa na shida ya kupiga picha mchana. Alinitengenezea sasa inapiga mzigo kama mpya. Ila wanagharama kidogo. Mimi camera yangu ilikuwa na shida ya shutter alitengeneza kwa 60,000/=

sasa mkuu unaweza nisaidia mawasiliano na iyo sehemu coz nataka nimwagizie mama angu af ye dar sio mwenyeji sana ili apate maelekezo ya kufika iyo sehemu vizuri.........msaada wako tafadhali
 
Back
Top Bottom