Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nina mpango wa kununua iPad mini. Je nitawezaje kununua apps kwa kupitia akaunti yangu ya benki (NBC)?
0 Reactions
1 Replies
857 Views
habari wanajamvi. mie nina ujuzi kdogo wa computer. ila shida yangu ni kutengeneza vitu ama maandishi yenye ubora mzuri zaidi. nimejaribu kwa kutumia powerpoint and office picture management tools...
0 Reactions
2 Replies
920 Views
Heshima yenu wana jf ;;;;ninaomba mnisaiodie jinsi ya kudownloud video sanasana za youtube..
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wakuu habari zenu, nina laptop (compaq intel pentium ll) sasa kila nikiiwasha inaniandikia windows fail to start halafu inajizima yenyewe, nikiwasha tena mchezo uleule. kama ikikubali kuwaka...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
hv naweza pata hi mashine kutoka kwa nani na sh ngapi ya kitanzania?
0 Reactions
0 Replies
919 Views
Binafsi naamini hakuna kama KMPLAYER katika media players ninazozifahamu. Swali :je kuna player nyingine nzuri zaidi kuliko KMPLAYER?Just curious to know if i'm using the best.
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Anyone can access it? I cannot http://tanzania.go.tz/
0 Reactions
15 Replies
1K Views
TBC na STAR TV zmetoweka wiki sasa natumia receiver za mpeg2 strong na midcom ntaweza kuzpata tena kwel? naomben msaada wenu wadau! niko NJOMBE
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Inaitwa Voyo A15 (China) Inatumia samsung exynos 5250 processor 2Ghz dual core 11.6 inch 1920x1080 display 2gbram 16gb internal memory Android 4.2.2 Mali T-604 GPU (ya uhakika) USB 3.0...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
simu yangu inanishinda kuinganisha na internet ya airtel pia nikituma nyimbo kwa bluetooth zinaenda kwny cm badala ya memory.msaada anayejua wakuu.
0 Reactions
2 Replies
883 Views
notebook harddisk zile ndogo zaidi ya hizi ndogo za kawaida.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari wanajamvini.. nina katatizo kidogo hapa, kuna Toshiba laptop ukiiwasha tuu inakuambia ufanye set up ya date, time and boot up sequence inatumia windows XP, kiiila siku yaani, na hata some...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari waungwana nauliza nina dish la ft 6 euro star na receiver ya mediacom, tayari limeanza kupoteza chanel mojamoja, je kuna namna nawezafanya ili nipate chanel nyingi zaidi au ndio yatakuwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
nimesahau password ya usb drvive aina ya * Kingston DataTraveler Secure – Privacy Edition (DTSP) 8gb msaada tafadhari
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Solution for Stuck "Preparing to Configure Windows. Please do not turn off your Computer" “Preparing to configure Windows, please do not turn off your Computer” was a Microsoft windows 7...
0 Reactions
0 Replies
22K Views
wadau msaada kwa anaejua wap ntapata kioo cha ndan cha tv kimepasuka ni samsung lcd na wino umevia ndani! so kwa anaejua wap ntapata na bei yake ntashukuru sana
0 Reactions
2 Replies
987 Views
Ni cm aina ya tecno t 721 nikijarib kupiga line one inakata na kuleta ujumbe acm exeeded.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa Tanzania maofisi mengi sana hupendelea kutumia computer za Dell, je ni nini hasa kilichosababisha Dell ikubalike zaidi kwa shughuli za maofisini?
0 Reactions
59 Replies
7K Views
guys now nikitaka kudownload file kupitia idm napata error hii kwa browser zote ''Cannot transfer the download to IDM ERROR 0x80004002'' Nimehangaika google bila mafanikio, any1 with help...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) Come July 10, 2013 all unregistered SIM Cards will be phased out the National Assembly has been told. In her supplementary question Lolensia...
0 Reactions
1 Replies
622 Views
Back
Top Bottom