whatssup

king R

Member
Jun 3, 2013
21
6
wadau naomba kujua jinsi ya kudownload wassup katika simu yangu natumia samsung GT_ 7722.
 
Nenda kuna app ipo kwe cm yako inaitwa google play au play store, ingia hapo utaikuta
 
naomba munieleze namna ya kutumia whatsup natumia samsug galaxy ace internet natumia wifi ya home full network kuliko hata adsl ya tz. ttcl
 
naomba munieleze namna ya kutumia whatsup natumia samsug galaxy ace internet natumia wifi ya home full network kuliko hata adsl ya tz. ttcl

uingie play store uipime simu yako kama ina uwezo wa kutumia whatsup
 
Back
Top Bottom