g.n.n
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 407
- 49
Jamaa IDM yangu inaleta shida, inaleta option ya kudownload fresh kabisa ila video inayokuwa downloaded ni tofauti kabisa kuna video inayotokea ni jamaa flan hivi video inavyoanza anakuwa anajamba (am not joking serious ndivyo ilivyo) help plz nifanyaje juu ya hii kitu.