Wakuu nitawezaje kutumia 3G Internet katika Nokia ExpressMusic?

Wakuu nitawezaje kutumia 3G Internet katika Nokia ExpressMusic?

nokia xpress musiz zpo nyingi,we specify ni ipi.Kuna ambazo hazina 3G,kwa maana kwamba ni 2G tu.
 
nokia xpress musiz zpo nyingi,we specify ni ipi.Kuna ambazo hazina 3G,kwa maana kwamba ni 2G tu.
ya kwangu ni ndogo ndoga ina button na sio touch..alafu nikifungua internet juu kwenye display kunakaa kabox ka E..
 
Siyo mchina kweli hiyo?expressmusic namba ngapi,ulitakiwa utaje namba yake ili wajuzi wakueleweshe.
 
tafuta simu ya 3g ,kwa simu za bei rahisi zenye 3g network ni huawei y200 tecno t1 na n3
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom