GreenCity
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 5,904
- 4,666
Ladies na Magents wa Tech, Gadgets & Science Forum, wasaalam!
PC yangu inapoanza kuzingua mara nyingi huwa najaribu kuinstall ant-virus na kuscan partitions kwa kadili niwezavyo na inapotokea bado ina tatizo, huwa nafanya system restore; lakini ikizidi kuzingua au ikifail ku-restart completely basi huwa naamua ku-instal a fresh copy of windows (normally, windows 7). nimefanya hivi zaidi ya mara 8 tangu Sept mwaka jana.
lakini kwa muda sasa, nikijaribu ku-install windows (be it xp2, xp3, xp3 geneous or windows 7) inagoma kabisa. yaani inaweza anza loading files....100%
copying files.... 100%
restarts... (kama kawaida)
installing windows...
restarts... (hapa ina-stuck wakati ikianza kuonesha ile logo ya Windows 7)
wakuu, nimejaribu kurudia mara kadhaa lakini wapi! na hii inatokea niki boot from disk pia hata niki-install kupitia runninig windows (kuna windows xp moja inakubali lakini with limited drivers)
kwa xp3 etc zenyewe inaanza kuingia lakini inapofika 34 minutes remaining ina-stuck kabisa au inaonesha error (an error occured that prevents setup to continue).
sasa Wakuu naomba msaada wenu, tatizo laweza kuwa nini? na nijaribu kufanya nini!?
i advance my regards!
CC: Young Master , SPYMATE , CTO , page , chief-mkwawa , jumaa24 , BinMgen na ma comrade wote

Last edited by a moderator: