Godlisten Masawe
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 738
- 283
Wasalaaam wakuu wa kazi.
ISP gani mzuri na internet yake ipo efficient, awe na router kwasabau ofisi ina computer zaidi ya kumi na zote zinaitajika kupokea mawimbi ya internet. Ofisi ipo maeneo ya pugu, vituo vinne mbele ya gongo la mboto.