Msaada wa jinsi ya kupata JF application kwenye windows phone!

Msaada wa jinsi ya kupata JF application kwenye windows phone!

ngofa

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
238
Reaction score
128
Wakuu ninatumia Nokia Lumia 520,kila nikijaribu kuingia "STORE" na kutafuta application ya JF ili ni iinstall inaniletea feedback kuwa "we couldn't find a match"
Mwenye kufahamu juu ya hili tatizo naomba msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom