Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,134
- 664
Niliwasha Laptop yangu, ikawaka vizuri. Baada ya kuiacha kwa muda wa kama dak 5, ika-Sleep.
Nilipotaka kuitumia sasa ndo nikashangaa kuona hai-display kitu kwenye screen. Nikajaribu kuizima lakini haikuzimika, nikajaribu kutoa betri na kuirudisha, na kujaribu kuiwasha haikuonyesha kitu vilevile.
Naomba mwenyekujua nini cha kufanya anijuze tafadhali. Asante.