Habari zenu wanajamvi?
Kwa kweli mimi ninapumua,Samahani saana nimesikia kuna uwezekano wa kutengeneza wireless kwa kutumia modem bila routers!plz how can this be done?
natanguliza shukrani za dhati...
kwa haraka haraka mi nnachofahamu ni kuwa kuna modem zina uwezo wa kuwa kam router (voda wanazo na baadhi ya maduka ya pc zinakuwepo pia) ambazo we unaweka line ya simu na ku connect kama modem then inakuwa inauwezo wa ku supply kama router pia...zaidi ya hapo labda utumie hizi hotpsot software...kuna dashboard moja ya huawei nadhani ina hii kitu na kuna mtu alishawahi post humu sema sikumbuki heading yake...au pia unaweza kutumia connectify ina sehem ya hotspot..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.