kepeskic ant virus

kepeskic ant virus

kashata

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2012
Posts
533
Reaction score
553
wakuu kepeskic ant virus yangu ime exspire naomba mwenye code namba zake anitumie ili niapdate ya kwangu
 
Aifanyi kazi hivyo labda ukanunue nyingine uweke izo code utazokuta kwenye voucher
 
Ningekupa avast internet security 8.x.x... Pamoja na activation key yake yenye siku 300 lakini unaonekana shida yako ni 'kepeskic ant virus'
 
Ningekupa avast internet security 8.x.x... Pamoja na activation key yake yenye siku 300 lakini unaonekana shida yako ni 'kepeskic ant virus'

Nipatie mimi mkuu nna shida na antivirus sana....natumia kaspersky ya trial na imebaki 8 days
 
Hahaha nimeipenda iyo ant virus niazime mkuu.. Btw tafuta zipo nyingi tu torrent...japo kua ni illegal lakini
 
Back
Top Bottom