Wadau!
Humu ndani kuna wataalam mbalimbal wa masuala haya,shida yangu nahitaj computer ya mezan( desktop) kwa ajili ya matumizi ya nyumbani hasa kujisomea (online), sasa wataalam ninunue komputa ya aina gan na ukubwa gan? ASANTEN.