Email yangu ya yahoo imegoma kufunguka

Email yangu ya yahoo imegoma kufunguka

Mtende

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
6,385
Reaction score
7,336
wadau kila niingiza pasword kwenye email yangu ya yahoo inagoma na sio kwamba nimekosea pasword,inaniambia psword or user account wrong its a week now hebu jisaidieni maana kuna jambo la muhimu lana
 
omba kubadili password - chagua i cant access my account na kwamba umesahau password yako - ila watakuuliza security questions ulizozichagua na kutoa majibu yake wakati unajisajili na yahoo.

kawaida huwa wanashauri ubadili password baada ya muda
 
bora nifungue nyingine maana hiyo security question siikumbuki daah ndo kinachonilostisha
 
ok. huenda wataalam hapa wakaja na njia ingine. ukifungua ingine make sure password inakuwa strong
 
Back
Top Bottom