Msaada wa window 8 32-bit

Msaada wa window 8 32-bit

Ndekirhepva

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2012
Posts
371
Reaction score
44
wadau natanguliza salam, naombeni mwenye link ya hii kitu aniwekee jameni, sijui labda nimeshindwa ku search au la, shukrani za thati natanguliza
 
mkuu naona kama inani direct kwenye link za kudownload games, vp tena hapa??
download client at vuze.com, install halafu rudi kwenye torrentz.com chagua mojawapo halafu click download torrent hiyo vuze client itaidownload.
 
download client at vuze.com, install halafu rudi kwenye torrentz.com chagua mojawapo halafu click download torrent hiyo vuze client itaidownload.

shukrani za thati kwa waungwana wote mlotoa msaada, ebwana mzigo uko poa, ngoja pia ni activate then kama kadawia, na kabaaanggggggggggg
 
Back
Top Bottom