Kampuni ya mawasiliano ya Airtel Tz imekuja na huduma ya eSIM ambayo imekua ikisubiliwa sana.
Huduma hii itawapa watumiaji nafasi ya kutumia zaidi ya namba moja kwenye simu moja bila kuongeza...
habari wanajukwaa mimi ni blogger mchanga ninaejaribu kuziendea ndoto zangu nilifungua app siku mingi kidogo hapo nyuma sasa ni zaidi ya miezi miwili nimefikisha usd 10 ambapo kwa sheria za google...
Nawasalimu wana JF,
naamini kwenye jamii zetu tuna wagunduzi wengi wa vitu vipya kwa upande wa teknolojia ila shida ambayo imekuwa kikwazo kikubwa , ni hayo mawazo yamekuwa yakikumbana na vikwazo...
Kwa Kiswahili
Prof Bibling amekuwa na tabia/taratibu/tija na amekusanya mbinu zilizothibitishwa za mazoea ya kujenga na kuongeza tija katika kubadilisha tabia.
Mbinu hizi zimetoka kwenye vitabu...
wakuu habari ningependa kujua au kupata ufafanuzi na utatuzi kama inawezekana.
USSD imekuwa haileti keyboard ya maneno ni namba tu so siwezi kuandika hata #.
Nifanye nini kutatua?
NAOMBENI MNIVUMILIE MIMI BADO S MUELEWA SANA WA HIVI NDO MY FIRST TIME
Nimejisajili na paypal tayari
Ila shida nayopata ni pale aliexpress ikifanya kwenye kulipia malipo paypal siioni wananiletea...
Kutokana na sheria za ushindani ambazo zimekuwa mwiba kwa kuweka vikwazo kwa makampuni makubwa kuyanunua makampuni madogo hasa startups, Adobe imeghairi mpango wake wa kuinunua Figma.
Sheria hizi...
Wakuu nataka kununua friji used
Kuna jamaa yangu kaniambia alinunua friji used linakula umeme balaa
Nikaona nilete specification za hilo friji hapa wataalam mnipe ushauri namna linavyokula umeme...
Wakubwa zangu habari za kwenu.Natumaini tunandelea vyema na majukumu yetu ya Kilasiku.
Katika kupita YOUTUBE nimeona Tips and Trick katika matumizi ya Gmail,ukweli kuna Features nyingI Free za...
Aisee ikitokea umekutana na mwanafunzi wa IT mwaka wa kwanza wengi ni much know.
Niko na dogo hapa kamaliza mwaka wa kwanza anasoma masuala ya security yani yeye kila kitu anasema anaweza hack iwe...
JE Unapenda Kujifunza Cinema 4D au Blender? ( Animation ) Motion Graphic kwa kutumia Cinema 4D.
Mwezi sasa toka nianze kujifunza Animation kwa kutumia Cinema 4D na Blender.
Week hii nmefanya...
Habari wadau,
Kuna account kama tatu hivi nishazitengeneza na kuzifuta ila nilizitumia kwenye baadhi ya websites muhimu kwahiyo kama kuna njia ya kuzipata tena zote naombeni msaada.
Ni wiki la pili sasa simu yangu camon 16s inakua na tabia ya kuzima mwanga nikiwa napiga na cwezi fanya lolote mpaka niombe niliyempia akate yy ndo mwanga unatokea!!
Naombeni msaada kwa hili tatizo
Habar wakuu....
Hoja yangu,naitaji kuwa mmiliki wa akaunt ya YouTube itakayo kua inalipwa....sifaamu chochote kuusiana na taratibu zao...
Mwenye kujua naomba anisaidie nipate mwongozo...
Wakuu nimeagiza mizigo kama mitano hivi sema inakuja Kwa njia tofouti minne inakuja na caniao super economy japo ni mmoja tu ndio code number yake ndio imeanza na TZ ila mingine ni LP na mmoja ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.