Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Katika pita pita zangu mtandaaoni, nimekutana na review ya device za Huawei na Harmony OS kwa who is the boss. Aisee Harmony OS ni kali sana, hasa devices zake zinavyopair na kuinteract yani ni...
1 Reactions
3 Replies
579 Views
Wakuu mganga ajigangi nimepata hii shida kila nikisajili namba yangu whatsapp au kusajilia namba yangu kisha nibadilishe kwenye hii namba Huu ujumbe nimeteseka sana nao na hapo natumia official...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
...
0 Reactions
8 Replies
759 Views
wakuu kwema msaada kwenye tuta,nina vibarua kama 100 nimepewa jukumu la kuwalipa kila siku baada ya kazi kuisha waliorodhesha namba zao kwahyo kila ikifika saa 10 kila mmoja anatumiwa pesa yake...
3 Reactions
10 Replies
843 Views
Yaani nimekuwa disappointed sana na hii simu, Ina complications na ina lack features ambazo ni za kawaida sana kwenye android. 1. Number row on keyboard hamna. 2. Text massage app yao huwezi ku...
46 Reactions
332 Replies
14K Views
Siku zote lipo tumaini katika hali yeyote mtu anayokutana nayo Maishani. Umasikini au hali ngumu ya Maisha sio vitu anavyodumu navyo mtu siku zote. Nnamdi Ezeigbo, ndie Mwanzilishi na mtendaji...
24 Reactions
72 Replies
24K Views
Wasalaam Wakuu, Naomba kujua ni vipi unaweza kutumia handset yako kuchangia humu JF? Kwa mfano mimi natumia TECNO H7 smartphone lakini nashindwa kutumia effectively JF zaid ya kusoma tu, sasa...
1 Reactions
30 Replies
13K Views
Habari! Ushamba siyo dhambi, ushamba siyo ulemavu wala ushamba siyo ugonjwa. Ushamba ni jambo la aibu ndiyo maana watu wengi hawapendi kuonekana washamba. Kinyume na wengi wasiopenda kuonesha...
3 Reactions
39 Replies
7K Views
Habari wakuu? Naomba mnipe tofauti ya hivyo nilivyo taja hapo juu. Nini matumizi yake? Faida na hasara zake? Na ni ipi bora kuwa nayo nyumbani? AHSATENI
1 Reactions
9 Replies
3K Views
I love tech. Phones are part of it. Leo nilikutana na fundi simu mmoja wa miaka mingi sana. Nakumbuka mwaka 2009, kabla Simu za laini mbili hazijakuwepo, huyu fundi alikuwa anakata laini na...
1 Reactions
6 Replies
805 Views
Habari za muda huu? Naomba kupata muongozo kwenye uchaguzi wa camera hizi mbili Canon 5D Mark II na Canon 750D Ipi nzuri, kwa matumizi ya picha na video shooting, Natanguliza shukrani.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba kuelekezwa ni jinsi gani naweza pokea pesa kutoka Kongo kupitia mitandao ya simu yani namaanisha mpesa, airtel money au tigo pesa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwenye pitapita zangu huko kwenye YouTube nimekutana na channel yenye subscribers 151 tu. Ila ukiplay video inaleta kwanza matangazo. So, hii ndo kusema hii channel ya watu 151 Iko monetized...
0 Reactions
2 Replies
544 Views
Habari za humu jamani naombeni msaada simu yangu infinix hd model x612. Camera imenizingua nikipiga picha picha inageuka juu chini na ya nyuma ndio imegoma ata kufunguka kabisa msaada wenu waku...
0 Reactions
7 Replies
717 Views
Ukuaji wa technology pamoja na fild zake kama AI, robots, autonomous na IoT Umeongeza fursa hasa upande wa M2M. Kama unampango wa kua billionea miaka ijayo anza sasa, fanya research na kuona...
0 Reactions
2 Replies
584 Views
wakuu wataalam wa tech, je nawezaje kusoma text au jumbe zilizotumwa kwene account yangu ya Facebook kupitia Email? Zamani sana nilikuwa naweza kusoma ujumbe kupitia email notification bila...
1 Reactions
3 Replies
823 Views
Habari wadau naomba msaada nina badget ya 700k nataka simu nzuri ya samsung .mwanzo nilikuwa natumia samsung note 8 lkn hii inasumbua haikai na charge sana. Ni ipi simu nzuri katika hizo. Hasa...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari ya nyie, mi naomba leo niwape promo hawa watu wa SpeedAf kwa kweli wananifurahisha sana. Tar 5/09/2023 nilipress order yangu, shopping method ilikua ni cainniao global shipping, kama...
6 Reactions
37 Replies
3K Views
Naomba kujuzwa ubora wa hii simu kwa anaeifaham ram 8 gb 256gm
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Jarida maarufu nchini Marekani la Bloomberg, limeripoti kuwa mauzo ya simu za Huawei hasa toleo la Mate 60 yamepanda kwa asilimia 27 mwaka huu wa 2023 Likinukukiwa jarida hilo liliandika...
1 Reactions
1 Replies
739 Views
Back
Top Bottom