Ushauri; Matumizi ya umeme kwa Friji

Ushauri; Matumizi ya umeme kwa Friji

Bingili

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
317
Reaction score
815
Wakuu nataka kununua friji used
Kuna jamaa yangu kaniambia alinunua friji used linakula umeme balaa
Nikaona nilete specification za hilo friji hapa wataalam mnipe ushauri namna linavyokula umeme kwa siku nk
Na friji la spec gani ambalo lina unafuu kwenye matumizi ya umeme 24/7

Nawasilisha

IMG_3582.jpg
 
Sio mzoefu sana ila yaliyoandikwa hapo siya amini kabisa mkuu yaani kwamba kwa 24 hours itachukua Unit 1.56 sidhani mkuu.
 
Wakuu nataka kununua friji used
Kuna jamaa yangu kaniambia alinunua friji used linakula umeme balaa
Nikaona nilete specification za hilo friji hapa wataalam mnipe ushauri namna linavyokula umeme kwa siku nk
Na friji la spec gani ambalo lina unafuu kwenye matumizi ya umeme 24/7

Nawasilisha

View attachment 2844591
Achana na used..
Nunua friji mpya utanishukuru baadaye
 
Wakuu nataka kununua friji used
Kuna jamaa yangu kaniambia alinunua friji used linakula umeme balaa
Nikaona nilete specification za hilo friji hapa wataalam mnipe ushauri namna linavyokula umeme kwa siku nk
Na friji la spec gani ambalo lina unafuu kwenye matumizi ya umeme 24/7

Nawasilisha

View attachment 2844591
Tupa hilo.

Ulaya lilitupwa wajanja wakaliokota wakaja kuuzia wewe.
 
Umeshasema "fridge used", efficiency yake imepungua kutoka 100% hadi hapo ilipo, so 1.56 units kwa 24hrs ni maandishi tu kwa sasa.
 
Wakuu nataka kununua friji used
Kuna jamaa yangu kaniambia alinunua friji used linakula umeme balaa
Nikaona nilete specification za hilo friji hapa wataalam mnipe ushauri namna linavyokula umeme kwa siku nk
Na friji la spec gani ambalo lina unafuu kwenye matumizi ya umeme 24/7

Nawasilisha

View attachment 2844591

fridge ni mechanical device kama gari
hiyo picha yenye specs hapo zina apply pale kipindi friji ni jipya
likiwa used hizo specs hazi hold tena, zinaongezeka

nunua friji jipya
 
Spec kama hizo ni ku confuse wateja tu. Energy’s consumption ni function ya temperature difference kati ya content na dial temperature, plus contents quantity, refrigerant mass.

Performance inakua achieved kama hamna gas leakage in all compressor-condenser cycle. Likely hilo fridge liko <70 efficiency implying it should be replaced.
 
Kama bei iko poa
Kama friji halijatengenezwa china
Kama friji linapiga kazi vizuri
Basi lichukue mkuu

Nina friji used nililichukua bei poa na rate yake ya ulaji umeme iko poa sana
Niliokoa hela nyingi sana kutokuchukua jipya

Hapo ni bahati na sibu
 
Back
Top Bottom