Kwanini Afrika na Tanzania hawatumii Gmail kama Modeli ya mawasiliano?

General Nguli

JF-Expert Member
Apr 22, 2022
1,118
2,288
Wakubwa zangu habari za kwenu.Natumaini tunandelea vyema na majukumu yetu ya Kilasiku.

Katika kupita YOUTUBE nimeona Tips and Trick katika matumizi ya Gmail,ukweli kuna Features nyingI Free za kuenjoy.

Swali langu: Je, kwanini huu mtandao una matumizi madogo sana. Na ukiangalia una uwezo mkubwa kuliko hata Whatsp na mitandao Mingine katika media Comm.​

Ukweli ni mtandao mmoja Amaizing katika matumizi kwa wale wanao ufahamu.
 
Wabongo wanapenda page za udaku na umbea, Huko gmail hakuna page za udaku na umbea ndio maana wabongo hawatumii sana
Burudani... sio kwa bongo tu...

Una ambiwa tik tok au insta au whatsapp nk moja wapo ina watumiaji bilion na zaidi, unazani watumiaji wote hawa ni wabongo? Kwamba wabongo tupo billions?

Hiyo mitandao ina burudani na elimu pia...!

Wapo wana tumia emails kuwezeshwa kupata kujisajili na huduma, baada ya hapo hawana mpango na hiyo E-Mail 📧
 
Burudani... sio kwa bongo tu...

Una ambiwa tik tok au insta au whatsapp nk moja wapo ina watumiaji bilion na zaidi, unazani watumiaji wote hawa ni wabongo? Kwamba wabongo tupo billions...
Kwani wapi nimesema kuwa billions wa users wa mitandao ya burudani ni Wabongo? Tuanzie hapo kwanza
 
Back
Top Bottom