Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 545
- 889
Wakuu nimeagiza mizigo kama mitano hivi sema inakuja Kwa njia tofouti minne inakuja na caniao super economy japo ni mmoja tu ndio code number yake ndio imeanza na TZ ila mingine ni LP na mmoja ni unakujana Singapore post. Kwa uzoefu wangu wa kikuu nilikua yote itaunganishwa lakini kumbe mambo si hivyo. So mwenye uzoefu tusaidiane tafadhali.