Programming trainer

Programming trainer

Kuna channel inaitwa giraffe academy sijiu kama bado ipo, nilitumia kujifunza ruby na advance c++
 
C++ usiippe kipaumbele nakushauri anza na python. Ninasomea Insustrial engineering python ndo programming language inayotumika katika mitambo na machine nyingi duniani. Software za magari yote ya ujerumani zimeandikwa na Python.
Kila mwamba ngoma huvutia upande wake. Bila shaka ana sababu ya kuanza na c++. Ungemuuliza lengo lake hasa anataka kuwa base wapi huenda angekwambia.
Mimi nimejifunza python, php na java kidogo mwaka huu.
Ila nimeweka mkazo kwenye python, leo nlikuwa najifunza kuconnect web forms na python code zangu maana nilikuwa natumia tkinter kwa ajili ya UI ila ni pasua kichwa na UI zake mbovu mbovu sasa nimeona ni deal na web based UI naiconnect na python codes kupitia Flask framework.
 
Mtoa mada pitia uzi wa tango nafundisha programming kwa bei nzuri umemewekwa hivi punde. Ukipata mwalimu ni nzuri kwa sababu concept nyingi utazijua mda mfuli.
Hakikisha unamkagua mwalimu wako
Credentials zake. Akuoneshe wasifu wake wa kitaaluma. Kusoma you tube hakufanyi mtu awe mwalimu bora.
Tafuta mwalimu alisoma haya mambo CHUONI na amefanya kazi ya haya mambo walau miaka kadhaa na mwenye uzoefu wa kutosha.
Angalia usijepigwa na makanjanja. Wengine wamekalili tu syntax watakwambia wao ni walimu.
 
Self learning is not for everybody.
You tube amd online articles hizo zote ni self learning bit not everyone can afford it. Kama yupo trainner yy ndio anamtaka..jitokezen au muelekezn atakapo mpata
 
Mtoa mada pitia uzi wa tango nafundisha programming kwa bei nzuri umemewekwa hivi punde. Ukipata mwalimu ni nzuri kwa sababu concept nyingi utazijua mda mfuli.
Hakikisha unamkagua mwalimu wako
Credentials zake. Akuoneshe wasifu wake wa kitaaluma. Kusoma you tube hakufanyi mtu awe mwalimu bora.
Tafuta mwalimu alisoma haya mambo CHUONI na amefanya kazi ya haya mambo walau miaka kadhaa na mwenye uzoefu wa kutosha.
Angalia usijepigwa na makanjanja. Wengine wamekalili tu syntax watakwambia wao ni walimu.
Ulilosema ni kweli kuna watu wamekalili syntax lakini hawezi kuitengenezea kitu chochote cha maana.
Sema pia ni kujiongeza mimi kuna mtu alinifunza c++ mpaka nafika sehemu sasa ya concept ya objective oriented sikuwa naelewa chochote na wala sikuwa naona yote niliyojifunza naweza yafanyia nini nikaacha. Nimeanza jifunza upya mwaka huu baada ya miaka karibia 8, najifunza mimi mwenyewe na naona nmepiga hatua kubwa naweza weka concept zangu nikachapa code nakaunga na UI nw zikarun jambo ambalo linanipa moyo.
 
Hukuwa na MENTOR mzuri. Programming haitakiwi ujifunze kama elimu ya darasani. Yenyewe ina muelekeo tofauti kabisa.
Mfano msoma hesabu yeye huwa analenga kuprove theorem bila hata kujua hizo theorem au laws zitatumika wapi.
Programmming sio kujua syntax tu bali zinavyoweza kuleta matokeo chanya ya tatizo.
Ulikuwa unakariri syntax kama watu wa hesabu, baada ya miaka 8 umejifunza njia bora za kujifunza programming.
Mimi nilijua mapema kuwa unatakiwa ufanye kwa vitendo kilichoniangusha good tools ambazo ni computer nzuri, software nzuri na muda wa kutosha .
IDE zimenizingua sana, bado kuna hizo framework. IDE moja inabidi upandanishe viprogram kibao.
Viteknolojia vingi vingi uuunge ili upate kitu.
is very boredom!
 
Yah aliyekuwa ananifunza ni mtaalam sana yania sana anaunda projects kibao ila alinipga fasta na sikuwa ninaelewa.
Sasa najifunza mwenyewe kama hobby.
Mimi natumia Vscode ni rahisi kuinteract na kuinstall frameworks na github pia.
Sasa hivi njia ninayiitumua nikijifunza kitu kidogo kwanza nakifanyia implementation.
Mfano ukiwa unajifunza sana sana value za variables utafundishwa kuziandika moja kwa moja kwenye code.
Mimi hapo ndipo nasema nataka nijue values itazipokeaje kutoka kwa user badala ya mtu kuziandika tu kwenye code.
Baada ya mamno kufanyikia kwenye terminal nikawaa naoana ninaowanyesha hawaelewi ndipo nikaanza intwrgrate na tkinter kama UI, lakini sasa ninatumia web based UI naona mambo poa kabisa.
 
C++ usiippe kipaumbele nakushauri anza na python. Ninasomea Insustrial engineering python ndo programming language inayotumika katika mitambo na machine nyingi duniani. Software za magari yote ya ujerumani zimeandikwa na Python.
Sasa mimi ni mwanafunzi carriculum inataka nianze na hiyo,python nitajifunza on my own
 
C++ usiippe kipaumbele nakushauri anza na python. Ninasomea Insustrial engineering python ndo programming language inayotumika katika mitambo na machine nyingi duniani. Software za magari yote ya ujerumani zimeandikwa na Python.
Mimi nasoma ETE,,Tunafundishwa hiyo na ndio tumeanza nayo
 
Back
Top Bottom